Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kijiwe wote asilimia kubwa ni watu wa sembe. babuu wa kitaa ndo sasa hivi boss wao kiasi kwamba akija wanampigia makofi. ambaye nahisi lakini sijashuhudia ni masele cha pombe. kwa ufupi kile kijiwe wote ni manyoka. dark master, mangwair, rado, coin nk wanashinda kule wakitoka pale wanaenda kulala. Sasa hivi wamepoteza watu wawili (ranga na ngwair) ndo maana nikasema king'oko ifungwe. kuna kipindi liz1 alikua anajipitisha pale. mia
Once ur In always In...
Unafikiri kuacha poda ni sawa na kuacha mke au hawala?
poda nyoko,,,
aliacha, kuna siku alikuwa katika interview na Sauda Mwilima wa star TV akasema kwamba ameacha kabisa tena akatoa wimbo wa kuwaasa wenzio nao waache, da rest in peace langa.duh kweli mwaka huu kazi ipo.lakin jammaa si aliacha kula unga?au allirudia tena?
Haya matukio yananikumbusha ile movie ya "FINAL DESTINATION" who is next?!..... RIP LAnga.
mmmmh,,,,,haya![]()
Msanii wa hip hop nchini kwa jina la langa amefariki katika hosipitali ya muhimbili kwa malaria ghafra. habari zinasema kuwa amefariki kwa malaria kali!
madawa ya kulevya yatawamaliza madogo na list itakuwa kubwa sana na ndefu[/QUOTE
Ishukuru cdm, ungekuwa huko pia!
Mkuu mimi staki kung'olewa kucha. asingekuwa ismail babuu asingekuwa clouds. si unajua ismail atakacho kiongea kwa shem kinapita bila kupingwa? shemeji na clouds damu damu. ndo maana Liz huwa anapita pale king'oko kusalimia!. hahahaaaa....!!! mkuu usitake ning'olewe meno na kucha bila ganzi. R.I.P. Langa. miakuna dogo anaitwa Ismail ndiye alietunga hilo jina la king'oko ni mdogo mama Salma
Sad news n great loss indeed.I knw th dude from primary school to O level at Loyola,he could hav made it so far kama tungekuwa na institutes za kuendeleza vipaji.at Olimpio I knew he could draw sana tu,then later had passion for music wit hz crew Wu-Tang wa Loyola.I can't believe all this is gone,R.I.P comrade
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums