Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

Kwanza naenda kwa pusha nanunua vizuri ganja...
Baada ya kuvuta nakula vizuri nyama...kilo ya kuku mbuzi au hata n'gimbe sanaaa...
Nikishashiba nahamia kwenye pombe,mitungi nna kreti,sigara nna pakti kamwe haunikuti nimelala kwenye pati...
Huwa siingii kati naegemea ukuta...
Nakamata viuno vilivyolegea mfupaaa...
We wanakuchuna mi wananigea nbureee...
Mchunge mke nna sumu kama nge..
 
Ni kweli katuaga kijana wetu. Hili ni pigo lingine kwa P,funk sababu ni majuzi amemaliza kumtengenezea wimbo mpya ambao alitegemea utamtoa baada ya kua amesimama kwa muda mrefu akitibia kutokana na utumiaji wa madawa ya kulevya. Ijumaa iloisha alikua channel 5 akitambulisha wimbo wake na kielezea jinsi alivo mjua ngwair. Hili ni pigo kwa wapenda Hiphop. pole wafiwa pole king'oko. arosto naiogopa sana. mia
Naikumbuka hii moment Ali freestyle kuhusu Ngwair

One love
 
Ukitaka kumficha muafrika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumia muziki kufikisha ujumbe kwa watu,usitembee pekupeku bila kuvaa viatu.!!

Kitaa wananiamini kama kiongozi wa dini nawakalisha kitaa yaani kuliko hata wabunge!
 
Back
Top Bottom