Msanii Langa afariki Dunia!

Kwanza naenda kwa pusha nanunua vizuri ganja...
Baada ya kuvuta nakula vizuri nyama...kilo ya kuku mbuzi au hata n'gimbe sanaaa...
Nikishashiba nahamia kwenye pombe,mitungi nna kreti,sigara nna pakti kamwe haunikuti nimelala kwenye pati...
Huwa siingii kati naegemea ukuta...
Nakamata viuno vilivyolegea mfupaaa...
We wanakuchuna mi wananigea nbureee...
Mchunge mke nna sumu kama nge..
 
Naikumbuka hii moment Ali freestyle kuhusu Ngwair

One love
 
Ukitaka kumficha muafrika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumia muziki kufikisha ujumbe kwa watu,usitembee pekupeku bila kuvaa viatu.!!

Kitaa wananiamini kama kiongozi wa dini nawakalisha kitaa yaani kuliko hata wabunge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…