Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Corona hiyo.
dah RIP mwamba nimemkumbuka sananaposimama hasimami,napochana hawachani,popote mimi ni nambari wani! by langa kileo ft chid benz 2009
rip langa
Lyrical And Natural Gifted Artist ...dah RIP mwamba nimemkumbuka sana
Ngoma tunaendelea kuishi nazo
yaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malariaLanga kichwani alikuwa vizuri
Sema madawa nyoko sana
Ova
Mara ya mwisho kukutana naye ilikuwa kwa mzee kileo pale pr campyaliharibu game yake ila yeye alikufa kwa malaria
Lyrical genius" Wananichekea Usoni kisogoni wananisema/ Wanatafuta mabaya wanajifanya hawaoni mema/
Moja ya line bora kutoka kwa The late Lyrical and naturally gifted in Africa (LANGA)
Huyu jamaa alikua smart sana kiuandishi sema ni vile ujana huja na mambo mengi