Langa (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui.
Uchunguzi wa chanzo cha kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na witness na sara ni miongoni mwa wasanii wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania.
Mungu amrehemu.
Langa yupi? Yule tejaaaa? Ambae alisema ameacha?