Msanii Langa afariki Dunia!

Hivi wanakula 'unga' wa aina gani hawa wanakufa hivi!?
 
~Amani kwa kaka voda miliönea waambie mdogo wako aache ushoga na umbea
~Nilianza kuvaa gwanda kabla ya dr slaa
~ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu mie natumie mziki kufikisha ujumbe kwa watu
~Wananichekea usoni kisogoni wananisema wanatafuta mabaya utadhani hawaoni mema
~shukran kwa nyerere alicheza utadhan pele kuendeleza kiswahil mikoan na mbelembele tunamfagilia mzungu wakati tuna shida tele kingeleza bila hela ni sawa na kupiga kelele
 


r.i.p langa.
 
tatizo mateja wa bongo wanakula Unga Mchafu. r.i.p real nigga.
 
Kuna haja ya dhati kwa wasanii kumrudia Mungu.

Maana hii inakuwa kama ni adhabu ya kuwakumbusha kwamba wasibweteke kwa mafanikio kidogo wayapatayo na kumsahau Mungu wao.
 
There are currently 3675 users browsing this
thread. (135 members and 3540 guests)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…