King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
There are currently 3675 users browsing this
thread. (135 members and 3540 guests)
Next is TIDmalaria kali ndio imemuondoa mteja huyu anayefuata ni nani stay tuned..
Mimi nashauri kile kijiwe cha KING'OKO pale kijitonyama kifungwe sababu ndio kijiwe cha kuuza na kununua Unga.
mia
let the dude die hardly..
Langa alianza tena nasikia kutumia madawa TID ni mbishi na hali vizuri ndio maana anaonekana kachoka siku hiziUzuri wake alikiri wazi kuwa alikuwa mtumiaji mzuri wa 'unga', nina imani aliacha kutumia bt ni ngumu kujua, ila namsihi TID kama kuna mtu wake wa karibu ampe ushauri aachane na Unga! Najua wasanii wengi wanatumia 'unga' ila TID anasemwa sana.
mbona jamaa alishaachaga madawa na akawa msaidiaji mzuri kwa wengine walioathirika na madawamadawa ya kulevya yatawamaliza madogo na list itakuwa kubwa sana na ndefu