Msanii Langa afariki Dunia!

Msanii Langa afariki Dunia!

There are currently 3675 users browsing this
thread. (135 members and 3540 guests)

Mpaka sasa ngwair ndo anashika rekodi ya users zaidi ya 11,000 waliokuwa wanabrowse thread kuhusu kifo chake.
 
Wakati mwingine unakosa cha kusema!

Tufanye kitu tunapoteza vipaji
 
Dah lakini Langa hajafa kwa madawa alishaacha ni malaria, hapo ndo tujue kifo kinapangwa na Mungu mwenyewe siku ikifika
 
OmG bado matanga ya ngwair hayajasahaulika...Wanadamu tuna fanya mipango bt anaekamilisha ni Mungu R.I.P Langa.
 
Uzuri wake alikiri wazi kuwa alikuwa mtumiaji mzuri wa 'unga', nina imani aliacha kutumia bt ni ngumu kujua, ila namsihi TID kama kuna mtu wake wa karibu ampe ushauri aachane na Unga! Najua wasanii wengi wanatumia 'unga' ila TID anasemwa sana.
 
tweets zake za mwisho,akitanganza wimbo wake mpya wa rafiki wa kweli
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1371141128945.jpg
    uploadfromtaptalk1371141128945.jpg
    62.5 KB · Views: 248
Wazee wa fursa haya twenzetu wekeni namba za kabaang pesa na mpesa mtumie fursa.
 
Uzuri wake alikiri wazi kuwa alikuwa mtumiaji mzuri wa 'unga', nina imani aliacha kutumia bt ni ngumu kujua, ila namsihi TID kama kuna mtu wake wa karibu ampe ushauri aachane na Unga! Najua wasanii wengi wanatumia 'unga' ila TID anasemwa sana.
Langa alianza tena nasikia kutumia madawa TID ni mbishi na hali vizuri ndio maana anaonekana kachoka siku hizi
 
rip mpendwa.Mwenye picha yake angetupiamo.Wengne huwa tunawafananisha.
 
Back
Top Bottom