VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Ni Langa.Amefariki jioni hii katika Hospitali ya Rufani Muhimbili.Alianzia kundi la WAKILISHA lililowajumuisha yeye,Langa,Shaa na dada mwingine. RIP Langa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina kamili na taarifa japo kwa kifup km alikuwa anaumwa or ni ajali?Msiba wameweka wap n.k,R.I.P
Free ideas zamani ulikua unatumia jina gani hapa JF? Maana leo ni siku ya tatu toka uwe member kwa ID ya Free ideaskuna siku niliwahi kusema humu kuwa ni vema tukawa tunawasaidia hawa vijana wakat hawajaharibikiwa zaidi.....
speechless
whats up...
Duuuuh!
jamani mambo ya kukaa vijiweni kuvuta bangi mbaya sana.
Ujoka huanzia hukohuko leo unagongeshea bangi ya mshikaji wako
Stimu unayoipata ni kiboko kumbe mwenzio anachanganyia unga.
Nawewe utaiga kidogokidogo kuchanganyia mwisho wa cku unakuwa umebobea chakula chenyewe chips yai.
Nawashangaa wanaosema bora bangi wakat tatizo huanzia huko

eeh? Ni kweli au?
kama kweli RIP