Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
Maria Roza aliiweka jukwaa la kikubwa zikaondolewa siku ya pili kwakuwa hajatimiza miaka 18.

ilikua nudity kabisa kabisaa au alivaa vinguo kidogo??
yelewooomiiiii!acheni nilililie taifa la kesho!
 
yaani mtoto mdogo kama huyu kapiga picha za pono..mamayeee, basi tena dunia imekwisha habari yake.
 

i still believe that this can be the beginin of her end!sad though.
kweli mie ningemkuta huko club(bahati mbaya siendagi) pasingekalika hadi nihakikishe kametolewa humo ndani!
nasikia kalishajiachia shule na kamehama kwao kanakaa kwa shoga yake(eti!) huko masaki sijui upanga.
jukumu tunalo lkn jamii yetu pia ibebeshwe mzigo wakumuharibu lulu na watoto wengine kama yeye.no body cares as they say MWANA WA MWENZIO MKUBWA MWENZIO
 
sasa kama ni u18 nadhani watu wanaweza kujipigisha mvua bila kujitambua.
 
Huyu si Under 18? Anauziwaje pombe wakati yeye ni under 18? Huku kwa wezetu unashtakiwa kabisa
 

Hapa kanajitetea eti we picha zote hizo unabisha nini sasa? Bila aibu kanasema vile ndivyo alivyoamua kuvaa. Kweli? Hana wazazi huyu
 
Last edited by a moderator:
Lulu Kwishnei!!!! Nimehuzunika saaaana! Dunia kweli kitambaa kibovu!
 
ilikua nudity kabisa kabisaa au alivaa vinguo kidogo??
yelewooomiiiii!acheni nilililie taifa la kesho!


Kalikuwa katupu kabisaa hiih ihihi bado ninayo pic waitaka?? hahhaha hahhah sipati picha kakifikisha miaka 20 mhh
 

Isije ikawa alitiliwa madawa ya kulevya na huyo muhindi ili amfanye vibaya bila idhini yake. Wahindi hawa wengi wao wana roho mbaya sana. Angeenda kupimwa si ajabu angekutwa huyo muhindi amemdoo bila idhini yake.
 
Anachanganya kiingereza na kiswahili halafu kiingereza kibovu kisichosimama.
 
Nona woote humu tumeangalia upande mmoja kuwa labda ni kamalaya...ohh...huyu mtoto ukiangalia kwenye picha za mchangiaji mmoja utagundua...hizi picha mjinnga mmoja wa Global publisher amezidaka kwa msaani mwenzie...wakati walizipiga kwenye movie ambayo mtoto
lulu alikuwa akifanya movie ambayo inaonyeshaa...watoto wadodo kwenye Club.

So akawa amepiga either kwa kumbukumbu zake...sasa balaa lote likaanzia hapo...jamani...I believe hii kitu si kweli...ambaye hajawahi kwenda club na kukutana na watoto wadogo wakifanya haya...na aseme.

Regards
 
Du!Huyu mtoto ameshahalibika,nafikiri kwa sasa ni vigumu sana kwa huyu mtoto kurudi katika maisha ya kawaida,ambayo kila mwanajamii atakuwa anarizika nayo kwa kiasi kukubwa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…