Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 228
we noma kidogo tu unakimbilia kuoga, utaweza kweli kuwa mwanachama wa kudumu wa infidelity?
All in all huyu mtoto inabidi achukuliwe hatua kali zinazolingana na umri wake na si matendo yake, hili iwe fundisho kwa watoto wengine, na kwa jamii husika, inasikitisha kwakweli.
hata huyo mhindi pia anastahili kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchukua mtoto mdogo na kumlewesha kiasi hiki, tena yeye ndio mwenye makosa zaidi, vile kapevuka kiakili na bado kachukua mtoto mdogo ambaye hana upeo wa kutosha.