kuna ule wimbo unaitwa CHANGANYA CHANGANYA umeimbwa na Enika kama sikosei, hako kabinti kali act mambo flani hivi ya kutoroka home usiku wazazi wamelala, labda ndo kanaweka kwenye reality sasa.
jamani humu JF kama kuna mtu yeyote wa karibu na huyo binti ajaribu kuongea naye na kumweleza hii dunia inakoelekea yawezekana anapotezwa na kampani halafu wazazi wapo busy na mambo yao au wanamwacha sababu labda wanapata pesa through her coz ni msanii cjui, lakini awe na maadili mema jamani, aaaaarghh!!!! me napata hasira!!!:mad2: