PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?

Hakuna haja ya kutishiana wakuu.

===

"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika

Ndugu @saidi8310 umekuja DM umenitisha na umemaliza kwa kusema nisje sema sijaambiwa

Kosa langu ni kupost NO REFORM NO ELECTION?
Sorry Mbona MH: @hechejohn kwenye kampeni zake anafanya na uwa anasimamiwa n jesh la Polisi,why Mimi?au coz ni maskini?mnyonge?
Au kwasababu Hupo karibu na Mea wa jiji?
Kosa kupost?au kumuombea MH: @tunduantiphaslissu ?

Au mtu atakiwi kuwa na uhuru wa kisiasa?
Wanaotakiwa kufanya ni viongozi tu?

Na mbona nimesoma tu umefuta?
Naomba kusema ,Mimi sina pesa,wala watu wakubwa au viongozi Ila Nina Mwamba 1 ambae ni YESU Kristo
Nina MUNGU aonae vya silini,mnafanya kuharibu sifa za watu
Watanzania na watu wakiona unapost upinzani wanakuambia utatekwa 😒kwanini nitatekwa?watekaj ninani?

Msihalibu status za watu ,Hupo karibu na MEA una dm watu kutisha?usifanye hivyo

Kwenyw maombi yangu usiku wa Leo ntakuombea kwa MUNGU akupe moyo wa hutu 😭"
1749804061007.png

1749804336463.png
 
View attachment 3366685
Ni kawaida ukianza hizi harakati kuna chawa wanakuja kuchimba biti
 
View attachment 3366689
No REFORMS No ELECTION
 
Wakiungwa mkono wao Safi, wakiungwa mkono wengine nongwa na vitisho,yaani Uhuru wetu wameushikilia wao,
NO REFORMS NO ELECTION ,italeta uhuru
 
Unajua kiutani utani Kuna watu wameshajimilikisha hii nchi..

Na Raia wote wameshatufanya kama mifugo yao..

Ukiwa kinyume nao wanakupa adhabu ya kifo..
 
Political Strategy ya kukusanya watu... kutukana Serikali.. ni outdated Politics.. CDM watamkumbuka Mboye Master Mind.. for 5 yrs Chama hakitakua na Mbunge.. Watu wamekalia No.. Reforms.. No Election# Upuuzi..
Heche ana Uwezo Mdogo sana!.. kutoa mapovu kwenye Mikutano! You wont compare Easter Bulaya; Easter Matiko; Salim Mwalimu,: Halima Mdee with Heche!! KUNA WATU WANAKUJA KWENYE MIKUTANO KUKUONA PHYSICALLY.. UMEVAA NGUO GANI; UMEVAA VIATU VIPI; SAA IPI.. Ila wakitoka hapo hawana time na wewe!
 
Back
Top Bottom