Nonsense...Jina anaitwa Mapunda wana uhusiano na punda?
NonsensePolitical Strategy ya kukusanya watu... kutukana Serikali.. ni outdated Politics.. CDM watamkumbuka Mboye Master Mind.. for 5 yrs Chama hakitakua na Mbunge.. Watu wamekalia No.. Reforms.. No Election# Upuuzi..
Heche ana Uwezo Mdogo sana!.. kutoa mapovu kwenye Mikutano! You wont compare Easter Bulaya; Easter Matiko; Salim Mwalimu,: Halima Mdee with Heche!! KUNA WATU WANAKUJA KWENYE MIKUTANO KUKUONA PHYSICALLY.. UMEVAA NGUO GANI; UMEVAA VIATU VIPI; SAA IPI.. Ila wakitoka hapo hawana time na wewe!
Msanii wa NRNENi msanii wa Nini huyo Lulu Mapunda..??
Huyo mbwa koko ana nyege, anatafuta mwanaume na umaarufu wa kipuuziWakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?
Hakuna haja ya kutishiana wakuu.
View attachment 3366690
===
"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika
Ndugu @saidi8310 umekuja DM umenitisha na umemaliza kwa kusema nisje sema sijaambiwa
Kosa langu ni kupost NO REFORM NO ELECTION?
Sorry Mbona MH: @hechejohn kwenye kampeni zake anafanya na uwa anasimamiwa n jesh la Polisi,why Mimi?au coz ni maskini?mnyonge?
Au kwasababu Hupo karibu na Mea wa jiji?
Kosa kupost?au kumuombea MH: @tunduantiphaslissu ?
Au mtu atakiwi kuwa na uhuru wa kisiasa?
Wanaotakiwa kufanya ni viongozi tu?
Na mbona nimesoma tu umefuta?
Naomba kusema ,Mimi sina pesa,wala watu wakubwa au viongozi Ila Nina Mwamba 1 ambae ni YESU Kristo
Nina MUNGU aonae vya silini,mnafanya kuharibu sifa za watu
Watanzania na watu wakiona unapost upinzani wanakuambia utatekwa 😒kwanini nitatekwa?watekaj ninani?
Msihalibu status za watu ,Hupo karibu na MEA una dm watu kutisha?usifanye hivyo
Kwenyw maombi yangu usiku wa Leo ntakuombea kwa MUNGU akupe moyo wa hutu 😭"
View attachment 3366685
View attachment 3366689
Mboye???? Dah!! Nimecheka sanaPolitical Strategy ya kukusanya watu... kutukana Serikali.. ni outdated Politics.. CDM watamkumbuka Mboye Master Mind.. for 5 yrs Chama hakitakua na Mbunge.. Watu wamekalia No.. Reforms.. No Election# Upuuzi..
Heche ana Uwezo Mdogo sana!.. kutoa mapovu kwenye Mikutano! You wont compare Easter Bulaya; Easter Matiko; Salim Mwalimu,: Halima Mdee with Heche!! KUNA WATU WANAKUJA KWENYE MIKUTANO KUKUONA PHYSICALLY.. UMEVAA NGUO GANI; UMEVAA VIATU VIPI; SAA IPI.. Ila wakitoka hapo hawana time na wewe!