Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Ni kawaida ukianza hizi harakati kuna chawa wanakuja kuchimba bitiWakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?
Hakuna haja ya kutishiana wakuu.
===
"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika
Ndugu @saidi8310 umekuja DM umenitisha na umemaliza kwa kusema nisje sema sijaambiwa
Kosa langu ni kupost NO REFORM NO ELECTION?
Sorry Mbona MH: @hechejohn kwenye kampeni zake anafanya na uwa anasimamiwa n jesh la Polisi,why Mimi?au coz ni maskini?mnyonge?
Au kwasababu Hupo karibu na Mea wa jiji?
Kosa kupost?au kumuombea MH: @tunduantiphaslissu ?
Au mtu atakiwi kuwa na uhuru wa kisiasa?
Wanaotakiwa kufanya ni viongozi tu?
Na mbona nimesoma tu umefuta?
Naomba kusema ,Mimi sina pesa,wala watu wakubwa au viongozi Ila Nina Mwamba 1 ambae ni YESU Kristo
Nina MUNGU aonae vya silini,mnafanya kuharibu sifa za watu
Watanzania na watu wakiona unapost upinzani wanakuambia utatekwa 😒kwanini nitatekwa?watekaj ninani?
Msihalibu status za watu ,Hupo karibu na MEA una dm watu kutisha?usifanye hivyo
Kwenyw maombi yangu usiku wa Leo ntakuombea kwa MUNGU akupe moyo wa hutu 😭"
View attachment 3366685
Muigizaji mkuuNi msanii wa Nini huyo Lulu Mapunda..??
No REFORMS No ELECTIONWakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia?
Hakuna haja ya kutishiana wakuu.
===
"Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika
Ndugu @saidi8310 umekuja DM umenitisha na umemaliza kwa kusema nisje sema sijaambiwa
Kosa langu ni kupost NO REFORM NO ELECTION?
Sorry Mbona MH: @hechejohn kwenye kampeni zake anafanya na uwa anasimamiwa n jesh la Polisi,why Mimi?au coz ni maskini?mnyonge?
Au kwasababu Hupo karibu na Mea wa jiji?
Kosa kupost?au kumuombea MH: @tunduantiphaslissu ?
Au mtu atakiwi kuwa na uhuru wa kisiasa?
Wanaotakiwa kufanya ni viongozi tu?
Na mbona nimesoma tu umefuta?
Naomba kusema ,Mimi sina pesa,wala watu wakubwa au viongozi Ila Nina Mwamba 1 ambae ni YESU Kristo
Nina MUNGU aonae vya silini,mnafanya kuharibu sifa za watu
Watanzania na watu wakiona unapost upinzani wanakuambia utatekwa 😒kwanini nitatekwa?watekaj ninani?
Msihalibu status za watu ,Hupo karibu na MEA una dm watu kutisha?usifanye hivyo
Kwenyw maombi yangu usiku wa Leo ntakuombea kwa MUNGU akupe moyo wa hutu 😭"
View attachment 3366685
View attachment 3366689
sadDemocracy ipo ICU,, this's heart breaking.
Jina anaitwa Mapunda wana uhusiano na punda?Ni msanii wa Nini huyo Lulu Mapunda..??
Nadhani wanauhisiano na wazazi wako piaJina anaitwa Mapunda wana uhusiano na punda?
Duuh, You can do better mkuuJina anaitwa Mapunda wana uhusiano na punda?
WanajiogopaWakiungwa mkono wao Safi, wakiungwa mkono wengine nongwa na vitisho,yaani Uhuru wetu wameushikilia wao,
NO REFORMS NO ELECTION ,italeta uhuru
Ila soon hili taifa litakuwa huruDemocracy ipo ICU,, this's heart breaking.