MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
Ona sasa umeshaingiza mambo yako ya jinsia moja humuKama alikuwa na Yesu Kristo basi yupo mahali salama na kwa hakika anao uzima wa milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona sasa umeshaingiza mambo yako ya jinsia moja humuKama alikuwa na Yesu Kristo basi yupo mahali salama na kwa hakika anao uzima wa milele.
Apumzike kwa amaniTaarifa za huzuni kubwa
Msanii mkongwe Nchini Tanzania, Chuma Suleiman almaarufu Bi Hindu ametutoka leo Jumamosi Julai 9, 2022 akiwa Magomeni nyumbani kwake.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mjukuu wake huku sababu ya kifo chake ikitajwa kuwa ni maradhi ya muda mrefu.
Bi Hindu ni mmoja wa waasisi wa Kaole Sanaa, kundi ambalo lilipata umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000, pia ni mdau mkubwa wa Klabu ya Simba, aliwahi kuonekana mara kadhaa katika matukio yaliyohusu klabu hiyo.
Aidha, amewahi kuwa mmoja wa watangazaji wa Kituo cha E-FM Radio cha Jijini Dar es Salaam.
View attachment 2285076View attachment 2285079