Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

Ndugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.

Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.

Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
Vipi yule Muislam mwenzio ailiyekojolea msaafu huko bara ulaya ye hakuiona hiyo nuru!!?? Acheni kuwa watumwa wa imqni za wazungu na waarabu.
 
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Hakuna cha ajabu hapo. Ni uamuzi wa mtu. Wapo wengi tu wameacha uislam na kuwa wakristo.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Ni uamuzi wa mtu. Wapo wengi tu wameacha uislam na kuwa wakristo.

Mimi naona ni ajabu kubwa sana.

Tuoneshe hao Wasanii wakubwa waliotoka Uislam kwenda Ukristo, unaosema wewe. Itakuwa ni ajabu kubwa zaidi kwangu.
 
Mkawasilimishe wayahudi kwanza
Unaonesha hata historia inakupiga chenga. Wengi ya Waarabu unaowaonaa leo ni Waislam wametokea kwenye Uyahudi au Ukristo au Upagani, wameiona nuru ya Allah.

Jionee hivi sasa:

Vipi yule Muislam mwenzio ailiyekojolea msaafu huko bara ulaya ye hakuiona hiyo nuru!!?? Acheni kuwa watumwa wa imqni za wazungu na waarabu.
Hapo sasa umekasirika.

Soma Qur'an kwa faida yako, inaondosha stress. Kama huujuwi kusoma japo sikiliza.
 
Kuna yule mdada sijui ni msanii ama ni supastaa tuu ila ana makalio makubwa kuliko anaitwa Sanchi sijui Santo, naye kuna kipindi alibadili dini akaanza kuvaa nguo za kujisitiri.

Sijui anaendeleaje kwa sasa.

Nimejikuta namkumbuka tuu.

Ni mafikirio ya akili za Kasinde tuu, nothing else.
Screenshot_20230724-031721.png
Screenshot_20230724-031417.png
 
Hapo ndiyo utaelewa tofauti ya kabla na baada ya kuiona Nuru.
Huyu alipokutana na mpododo wa jamàa mmoja ana Pesa ndio akaamua kuhamia uislamu na nahisi amemzalia mtoto maana mwaka Jana alikua na mimba na bwanake ana KESI ya madawa ya kelevya,

Nb: sasa hivi anaitwa Surreiya/Surraiya Ila Jina lake ni Janeikunda Evarist Rimoy a.k.a Sanchoka a.k.a Sanchi World
Screenshot_20230724-031525.png
 
Msanii maarufu ambae ameshinda tuzo tofauti kwa uigizaji, amesilimu.

Ni mwigizaji wa Nigeria, mtengenezaji wa filamu na mfanyabiashara, Mercy Aigbe ambaye hivi karibuni amesilimu. Kusaidia Hadithi za Uongofu wa Kiislamu.

Mercy ambae amechaguwa kw sasa aitwe Hajiya Meena amesilimu mwezi wa Ramadhan iliyopita baada ya kujifikiria kwa muda mrefdu. Mwaka huu pia amekwenda Makkah Kuhiji.

Allahu Akbar.

Hivi kuwa Muslim ni big deal sana?! Ni kama vile hii dini Ina matatizo, na waumin wake huwa hawategemei watu kujiunga nayo,sasa ikitokea MTU maarufu akajiunga, inakuwa taarifa kubwa!
Hebu fikiria Lionel Messi akinadilisha dini na kuwa Muslim!!
 
Back
Top Bottom