Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

Ndugu yangu kuwa muislam ni kujsalimisha kwa Muumba wako.

Uislam ni mfumo wa maisha yako kamili hapa duniani. Kutenda, kuamrisha mema na kukataa na kukataza maovu.

Lazima binaadam ujielewe upo hapa duniani kwa ajili ya nini?
Vipi yule Muislam mwenzio ailiyekojolea msaafu huko bara ulaya ye hakuiona hiyo nuru!!?? Acheni kuwa watumwa wa imqni za wazungu na waarabu.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Ni uamuzi wa mtu. Wapo wengi tu wameacha uislam na kuwa wakristo.
 
Hakuna cha ajabu hapo. Ni uamuzi wa mtu. Wapo wengi tu wameacha uislam na kuwa wakristo.

Mimi naona ni ajabu kubwa sana.

Tuoneshe hao Wasanii wakubwa waliotoka Uislam kwenda Ukristo, unaosema wewe. Itakuwa ni ajabu kubwa zaidi kwangu.
 
Mkawasilimishe wayahudi kwanza
Unaonesha hata historia inakupiga chenga. Wengi ya Waarabu unaowaonaa leo ni Waislam wametokea kwenye Uyahudi au Ukristo au Upagani, wameiona nuru ya Allah.

Jionee hivi sasa:

 
Vipi yule Muislam mwenzio ailiyekojolea msaafu huko bara ulaya ye hakuiona hiyo nuru!!?? Acheni kuwa watumwa wa imqni za wazungu na waarabu.
Hapo sasa umekasirika.

Soma Qur'an kwa faida yako, inaondosha stress. Kama huujuwi kusoma japo sikiliza.
 
 
Hapo ndiyo utaelewa tofauti ya kabla na baada ya kuiona Nuru.
Huyu alipokutana na mpododo wa jamàa mmoja ana Pesa ndio akaamua kuhamia uislamu na nahisi amemzalia mtoto maana mwaka Jana alikua na mimba na bwanake ana KESI ya madawa ya kelevya,

Nb: sasa hivi anaitwa Surreiya/Surraiya Ila Jina lake ni Janeikunda Evarist Rimoy a.k.a Sanchoka a.k.a Sanchi World
 
Hivi kuwa Muslim ni big deal sana?! Ni kama vile hii dini Ina matatizo, na waumin wake huwa hawategemei watu kujiunga nayo,sasa ikitokea MTU maarufu akajiunga, inakuwa taarifa kubwa!
Hebu fikiria Lionel Messi akinadilisha dini na kuwa Muslim!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…