mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
- Thread starter
- #21
50 aliiba jamaa alianza huyu
Ha ha haaa... 50 aliiba kwa Mnyalu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50 aliiba jamaa alianza huyu
Huyo aliitwa CAZ T mtoto wa komba
Hauna kitu. Ameimba kama zamani tu
Mbona wimbo wa kawaida sana
Kawaida mno mkuu!!Mbona wimbo wa kawaida sana
Jamaa Hatakuja Kutoa Ngoma Kali Kama Hii Pamoja Na Ile Ya Je, Utanipenda ?Kama mike T ningekuwa star, kama ningekuwa na mkwanja kachaa, kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa Iringa town ningekuwa balaa , kama
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji441]
Yaah hiyo ngoma amemshirikisha Mad Ice nayo ilibamba sana , ahsante kwa kunikumbusha [emoji106]Umesahau Je Utanipenda, idea iliyorudiwa na Diamond
Mack T ndio nani?
Ww umezalia kizazi cha. Com huezi kumjuaMack T ndio nani?
Ww umezalia kizazi cha. Com huezi kumjua
Namba 4 ndio balaa zaidi