Msanii Mack T amerudi kwa kishindo

Msanii Mack T amerudi kwa kishindo

Kama mike T ningekuwa star, kama ningekuwa na mkwanja kachaa, kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa Iringa town ningekuwa balaa , kama
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji441]
 
Kama mike T ningekuwa star, kama ningekuwa na mkwanja kachaa, kama ningekuwa ni mrefu na mfupi kachaa Iringa town ningekuwa balaa , kama
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji441]
Jamaa Hatakuja Kutoa Ngoma Kali Kama Hii Pamoja Na Ile Ya Je, Utanipenda ?
 
Mack T ndio nani?
IMG-20161221-WA0005.jpg
 
Hii nyimbo kama wamelipia production hela imeenda bure kabisa.
 
Huo wimbo hamna kitu

Kwa heshima yake nitaendelea kusikiliza nyimbo zake za zamani
1. Kama
2. Je utanipenda?
2. Sintobadilika
3. Etc
 
Yeah I think you know good music dude hiyo namba 4 Ni hatari Sana
Kama mike t ningekuwa star
Kama ningekuwa Na mkwanja kachaa
Dah wacha kabisa mkono wa Mdachi .
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
Namba 4 ndio balaa zaidi
 
Back
Top Bottom