Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
[emoji16][emoji16][emoji16] Rais wa Manzese
Ww ndo madee??View attachment 1199785Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe kwenye kituo chochote cha habari na zaidi ikiwa ni ni TV, Kwa sababu TV ndio kitu kinachoonyesha mandhari ya nchi tajwa ambayo ni SA, Binafsi nimechukua hatua kwanza kwa kuufuta hata kwenye channel yangu ya Youtube ambako ulikua unapatikana.
.
.
.
Binafsi wakati natoka Manzese kwenda kushoot SA plan ilikua nikutangaza vivutio vya Africa kwa ujumla, Kwa kuwa imani inaniambia sisi Waafrika ni Wamoja.
.
.
Nimefikia hatua hii kwa sababu kuu mbili.. (1)kile kinachoendelea kwasasa kila mtu anajua namna Wasouth Africa wanachowafanyia Waafrika wenzetu, 2) Ni kumuenzi Mzee wetu MUGABE ambae wengi wetu humu tunajua historia yake ya kupambania mtu mweusi (Mwafrika)na miongoni mwa watu waliokua wakipinga utawala wa watu weupe alikua anapambana kuhakikisha Waafrika tunajikomboa.
.
.
Sitakua sawa kuendelea kuitangaza SA kupitia muziki wangu, ZIMA KWAITO [emoji441][emoji735] R.I.P ROBY
Kwa akili yako unavyofikiri hiv kweli diamond, Vanessa, alikiba wanaweza kumuiga madee alichofanya?Wew jamaa kuna time nahis ushabiki wako mpaka umepelekea kuwa na kiwango kidogo cha akili,Yan kila afanyacho Diamond na crew yake ndo unaona ni bora,Madee kufanya hiv siyo kwamba ni msanii mkubwa ila kafanya hv ili awe kama daraja la wasanii wako hao wakubwa wenye impact huko SA waweze kuiga ili angalau kupunguza machafuko hayo,Pata picha endapo Mond,kiba,vanessa n,k wakiiga alicho fanya Madee itakuwaje?
Rubbish👉Kwa akili yako unavyofikiri hiv kweli diamond, Vanessa, alikiba wanaweza kumuiga madee alichofanya?
Daah huyo Mavi kwel yaan ugali wake mwenyewe alafu anatishia watu aende zake huko na kiki za kijingaView attachment 1199785Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe kwenye kituo chochote cha habari na zaidi ikiwa ni ni TV, Kwa sababu TV ndio kitu kinachoonyesha mandhari ya nchi tajwa ambayo ni SA, Binafsi nimechukua hatua kwanza kwa kuufuta hata kwenye channel yangu ya Youtube ambako ulikua unapatikana.
.
.
.
Binafsi wakati natoka Manzese kwenda kushoot SA plan ilikua nikutangaza vivutio vya Africa kwa ujumla, Kwa kuwa imani inaniambia sisi Waafrika ni Wamoja.
.
.
Nimefikia hatua hii kwa sababu kuu mbili.. (1)kile kinachoendelea kwasasa kila mtu anajua namna Wasouth Africa wanachowafanyia Waafrika wenzetu, 2) Ni kumuenzi Mzee wetu MUGABE ambae wengi wetu humu tunajua historia yake ya kupambania mtu mweusi (Mwafrika)na miongoni mwa watu waliokua wakipinga utawala wa watu weupe alikua anapambana kuhakikisha Waafrika tunajikomboa.
.
.
Sitakua sawa kuendelea kuitangaza SA kupitia muziki wangu, ZIMA KWAITO [emoji441][emoji735] R.I.P ROBY
Kiki tu!!....Huku nikutafuta Kiki sasa wewe hata ukifuta hizo ngoma zako huna impact yoyote uko south Africa kwenyewe hufahamiki
Huku nikutafuta Kiki sasa wewe hata ukifuta hizo ngoma zako huna impact yoyote uko south Africa kwenyewe hufahamiki
We jamaa unaongea ujinga, fikiria wasanii wote wa Afrika wangekuja na mawazo kama ya Madee na wanamichezo unadhani isingekuwa na Impact? Sisi wa Afrika wkt tunakuwa na mawazo ya kipuuzi, ingekuwa Ulaya na USA ndio huo ujinga unafanyika unadhani ingekuwa kimya kwa watu maarufu kama ilivyo huku kwetu
Ndio, unasemaje?Ww ndo madee??
Jino Kwa Jino Naona Kuna Mtu Ataumia Soon