Msanii Madee Ali,azuia nyimbo zake alizoshoot South Africa zisipigwe kwenye TV na Radio station,azifuta kwenye channel yake youtube

Mi mwenyewe demu wangu wa kizulu nimemuacha. Wadau igeni mfano wangu, say no to xenophobia.
 
View attachment 1199785Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe kwenye kituo chochote cha habari na zaidi ikiwa ni ni TV, Kwa sababu TV ndio kitu kinachoonyesha mandhari ya nchi tajwa ambayo ni SA, Binafsi nimechukua hatua kwanza kwa kuufuta hata kwenye channel yangu ya Youtube ambako ulikua unapatikana.
.
.
.
Binafsi wakati natoka Manzese kwenda kushoot SA plan ilikua nikutangaza vivutio vya Africa kwa ujumla, Kwa kuwa imani inaniambia sisi Waafrika ni Wamoja.
.
.
Nimefikia hatua hii kwa sababu kuu mbili.. (1)kile kinachoendelea kwasasa kila mtu anajua namna Wasouth Africa wanachowafanyia Waafrika wenzetu, 2) Ni kumuenzi Mzee wetu MUGABE ambae wengi wetu humu tunajua historia yake ya kupambania mtu mweusi (Mwafrika)na miongoni mwa watu waliokua wakipinga utawala wa watu weupe alikua anapambana kuhakikisha Waafrika tunajikomboa.
.
.
Sitakua sawa kuendelea kuitangaza SA kupitia muziki wangu, ZIMA KWAITO [emoji441][emoji735] R.I.P ROBY
Ww ndo madee??
 
Wew jamaa kuna time nahis ushabiki wako mpaka umepelekea kuwa na kiwango kidogo cha akili,Yan kila afanyacho Diamond na crew yake ndo unaona ni bora,Madee kufanya hiv siyo kwamba ni msanii mkubwa ila kafanya hv ili awe kama daraja la wasanii wako hao wakubwa wenye impact huko SA waweze kuiga ili angalau kupunguza machafuko hayo,Pata picha endapo Mond,kiba,vanessa n,k wakiiga alicho fanya Madee itakuwaje?
Kwa akili yako unavyofikiri hiv kweli diamond, Vanessa, alikiba wanaweza kumuiga madee alichofanya?
 
Hongera Sana madee. Umepinga kwa nafasi yako. Ile Mambo wanayofanya SA haikubaliki.
 
Mi nikajua ni ngoma mpya

btw ilitakiwa sio tu wasinii kuiga,africa nzima tungefurumusha hizo baloz zao,
 
View attachment 1199785Mambo vipi naitwa MadeeAlly leo Sept 06 2019 kwa hiari yangu nimeamua kuzuia kuchezwa kwa nyimbo zangu ambazo nimezifanya kwenye ardhi ya South Africa especially #VUVULA na zingine zisipigwe kwenye kituo chochote cha habari na zaidi ikiwa ni ni TV, Kwa sababu TV ndio kitu kinachoonyesha mandhari ya nchi tajwa ambayo ni SA, Binafsi nimechukua hatua kwanza kwa kuufuta hata kwenye channel yangu ya Youtube ambako ulikua unapatikana.
.
.
.
Binafsi wakati natoka Manzese kwenda kushoot SA plan ilikua nikutangaza vivutio vya Africa kwa ujumla, Kwa kuwa imani inaniambia sisi Waafrika ni Wamoja.
.
.
Nimefikia hatua hii kwa sababu kuu mbili.. (1)kile kinachoendelea kwasasa kila mtu anajua namna Wasouth Africa wanachowafanyia Waafrika wenzetu, 2) Ni kumuenzi Mzee wetu MUGABE ambae wengi wetu humu tunajua historia yake ya kupambania mtu mweusi (Mwafrika)na miongoni mwa watu waliokua wakipinga utawala wa watu weupe alikua anapambana kuhakikisha Waafrika tunajikomboa.
.
.
Sitakua sawa kuendelea kuitangaza SA kupitia muziki wangu, ZIMA KWAITO [emoji441][emoji735] R.I.P ROBY
Daah huyo Mavi kwel yaan ugali wake mwenyewe alafu anatishia watu aende zake huko na kiki za kijinga
 
Mwambie huyo. Haya CR7 alipokuwa na mashtaka ya ubakaji, EA SPORTS walimuondoa kwenye cover ya FIFA 19. Na kama mahakama ingemkuta na kesi ya kujibu, basi ungeona makampuni mengi yakiacha kushirikiana naye. Na hapo angejutia makosa.
Hivyo, kama wasanii wakiamua kumuunga mkono. Basi ujumbe unaweza kuwafikia wasauzi

We jamaa unaongea ujinga, fikiria wasanii wote wa Afrika wangekuja na mawazo kama ya Madee na wanamichezo unadhani isingekuwa na Impact? Sisi wa Afrika wkt tunakuwa na mawazo ya kipuuzi, ingekuwa Ulaya na USA ndio huo ujinga unafanyika unadhani ingekuwa kimya kwa watu maarufu kama ilivyo huku kwetu
 
Screenshot_20190906-143946~2.jpeg
 
Fact
We jamaa unaongea ujinga, fikiria wasanii wote wa Afrika wangekuja na mawazo kama ya Madee na wanamichezo unadhani isingekuwa na Impact? Sisi wa Afrika wkt tunakuwa na mawazo ya kipuuzi, ingekuwa Ulaya na USA ndio huo ujinga unafanyika unadhani ingekuwa kimya kwa watu maarufu kama ilivyo huku kwetu
 
Eti ni "Kiki" tu? Basi ni bora "Kiki" hii yenye mashiko ya kukemea uovu unaondelea Afrika ya Kusini, kuliko "Kiki" za wengine ambazo ni za kitoto na za kipuuzi, zisizo na faida kwa jamii.
Lets give credit where/when its due...
Kafanya maamuzi yake, kwa nafasi yake na mamlaka aliyonayo juu ya muziki wake
 
Asisahau kwenye nyumba zake zote anazo zipost instagram kaezeka msouth na anayokaa kafunda dish la DSTV.

Sasa sijajua atayang'oa mabati yale na kuliondoa dish la DSTV.
 
Back
Top Bottom