Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,161
Kwa kauli hiyo. Kesho magazeti ya udaku yatakuwa na vichwa vya habari kama hivi " madee achoma gari yake" ha ha ha ha nasubiri kwa hamu kesho kusikua madee kachoma gari kisa kipondo cha 1-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya Madee choma moto gari hiyo...
Mkuu huyu Madee ni maskini wa akili... Atakua kakulia uswazi ambako hawawazi...huko ndo kunakuaga na ushabiki wa aina yake...Namshauri Madee, kulikoni alichome hilo Gari ni Bora akalitoa Msaada kwenye Hospitali likatumika Kubebea Wagonjwa. Au akalipeleka Moja kwa moja kwenye serikali yake ya Mtaa huko manzese anakoishi na kulikabidhi huko ili lisaidie kubebea wamama wajawazito wanao patwa na Uchungu Usiku wa Manane.
Kwa kufanya hivyo anaweza akapata heshima kubwa sana ndani ya Jamii inayo mzunguka.
By the way Timu yake Imeshindwa tayari. Hivyo namsihi abadiishe fikra zake.
Muziki ni kazi iliyokufanya umfahamu Madee, llakini Madee hategemei muziki peke yake.Mziki wa madee nay wa mitego na kitale au mkude simba na mafanikio yao haviendani kabisa
Labda haujanielewaMuziki ni kazi iliyokufanya umfahamu Madee, llakini Madee hategemei muziki peke yake.
Kumbe na wewe unaandikaga pumba humu,rubbishHivi Inaingia Akilini Kwenu Mtu Ambaye Anajua Fika Kuwa 90% Ya Watanzania Ni MASIKINI Wa KUTUKUKA Ambao Kila Siku Tunahangaika Kuutafuta Mkate Na Sometimes Tunalala Tu " Kavu Kavu " Na Kupiga " Miayo " Huku Tukikodolea Mikenchi Tu Majumbani Kwetu Halafu Msanii Mmoja Wa Bongo Fleva Madee Anakuambia Kuwa Endapo Timu Yake Ya Arsenal FC Leo Itafungwa Na Chelsea FC Ktk LONDON DERBY Basi Atachoma Moto Moja Ya Gari Lake La Kifahari. Na Ikumbukwe Kuwa Madee Hana " CHOMBO CHA USAFIRI " Nikimaanisha Zile Gari Zenye Thamani Ya Kati Ya Tsh Milioni 3 Hadi Tsha Milioni 15 Ambazo WATANZANIA Wengi MNAZO Bali Madee Ana " MAGARI " Nikimaanisha Kuwa Magari Yake Mengi Yanaanzia Tsh Milioni 50 Hadi Tsh Milioni 120.
Naomba Kuuliza Je Hii " Nadhiri " Aliyoiweka Madee Ya Kuchoma Moto Moja Ya GARI Zake Siyo Ni TUSI LILILOTUKUKA Kwa Sisi " MANGUMBARU? " a.k.a Masikini? Kweli Kuna Watu Wana NYODO, KASHFA Na MATUSI Ya Reja Reja Hapa Duniani. Kwanini Tu Asingeliweka Kama BAHATI Nasibu Hilo Gari Lake Ili Akina Siye TUPAMBANE Kuligombania Na Tulipate Kwani Kusema Ukweli TUMESHACHOKA SASA KUOTA VIGIMBI VYA KUKIMBILIA MADALADALA, KUPIGWA NDOLE NA KUIBIWA Huku TUKIJAMBIWA KILA MARA NDANI YA VYOMBO VYA USAFIRI Kiasi Kwamba Ikifika Iwe Kazini au Nyumbani Unanuka SHOMBO Tu.
Tafadhali Kwa Aliye Karibu Na Msanii MADEE Naomba Amwambie Asilichome Moto Hilo GARI Lake Na Kama Vipi Alitafutie Tu UTARATIBU Sisi MANGUMBARU Tulipate Na Tutamshukuru Mno.
Kumbe na wewe unaandikaga pumba humu,rubbish