Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

kidochi og

Member
Joined
May 27, 2020
Posts
45
Reaction score
74
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo.

Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva anaejulikana kwa jina la Mimi Mars kudaiwa kutoka ki mapenzi na msanii Diamond Platnumz

Chanzo cha habari: Millard Ayo
 
Kiba anafanya wimbo wao wanafanya skendo

#Mediocre [emoji3][emoji3]
 
Usirudie tena kufanya hivyo nakuomba😅

Maisha ya duniani yalivyo matamu hivi af mtu unakatisha uhai kizembe aah sio poa kabisa
Wewe sema tu "umenikubali" hilo neno linanipa burudani sana
 
Licha tu ya mtu hebu anza kujifikiria unaachaje ugali dagaa, kachumbali,maharage,samaki na juisi kola.. unaachaje hivi vitu unakimbilia kujitia mkamba wa shingo..😅
Imagine! Wali maharage ulivyo mtamu vile, em aache huo ujinga aendelee kutupa burudani mashabiki wake.
 
Kama ni kweli basi huyo Mario hayuko serious na maisha, yaan karne hii ujiue kwa ajili ya mtu!
Lenie I Love You[emoji7][emoji7][emoji7]
Would be my girlfriend
I'm not joking I mean it
 
Back
Top Bottom