Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

Asante kwa kunipenda mwaya
Jamani hata hujaweka emoji za Love kwenye hiyo comments au simu yako haina[emoji24][emoji24]
Ila tell me you love me too nikawambie marafiki [emoji177][emoji173][emoji173][emoji173]
 
Kunyanganywa mchuchu unafikiri mchezo....

Tena ukute mtamuu...hautaishia kujinyonga tu unaweza ua hadi watoto.

Chezea uno.
 
Jamani hata hujaweka emoji za Love kwenye hiyo comments au simu yako haina[emoji24][emoji24]
Ila tell me you love me too nikawambie marafiki [emoji177][emoji173][emoji173][emoji173]
Shida viemoji tu kumbe, ngoja nakuja kukuwekea
 
Asitutoe barabarani tuko bize kumsikiliza rais wetu TAL
Ni yeye!
 
Asante kwa kunipenda mwaya
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Lenie hivi kweli yupo mwenye roho mbaya kukushinda,
Maana mi sijaona sijaona
Hivi kweli yupo asiyeona haya kukushida..Maana mi sijaona duniani
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kwamba akijinyonga ndio anaondoka na papuchi ya Mimi mars au!?

Hizi sijui akili za wapi hizi, we unajiua mwenzio unamuacha duniani anakula raha tu.
 
Mwaka Huu Usiishe Bila Kutenda Miujiza
Kuna Uchaguzi Mkuu 2020
Huku Wengine Wanataka Kujiua Waharibu Uchaguzi Kwa Kupoteza Kura, Na Kushindwa Kumuona Upcoming President
😂😁😀😅😄😃😃😄😁😂🤣😅😄😄😍😊😘🤩😶🤨😑😑
 
Dogo unazingua, af tuheshimiane bas eeh.
Amna natania tu nilikuwa nataka kujua hivi wasanii wanapataga wapi mashairi yao kumbe ndo Hivyo.
Ila hata ukinikataa sijinyongi we[emoji23]
 
Back
Top Bottom