Msanii Marioo ataka kujinyonga kisa Mimi Mars

Marioo anakuaje aseee??

Papuchi za moto zipo kibao tu,aachane na hiyo ya huyo mtoto wa kipare
 
Mpumbavu tu, kwani kamuoa
 
Akatafute pesa mtu huna pesa wadada wazuri utaishia kuwaita shemeji
 
Asante kwa kunipenda mwaya
Lenie hii ya Mario naona Ni Kiki tu kwasababu kwanza mtu ambaye anataka kujiua hawezi kupost insta la pili nimeona kesho atafanya press conference naona Kuna kitu anataka kuzindua either Ni wimbo au something else ametumia hiyo njia ili kutengeneza attention kwa watu tu ili kesho asikilizwe.
 
Ila wasanii wa bongo wanaboa na kiki zao. Halaf Mario mbona ni msanii mzuri tu na anajina saivi watu wengi wanamkubali. Waliomshauri hivyo hawana akili kabisa.

Wangetafuta kiki nyingine sio mambo ya kufa kila siku.
 
Ila wasanii wa bongo wanaboa na kiki zao. Halaf Mario mbona ni msanii mzuri tu na anajina saivi watu wengi wanamkubali. Waliomshauri hivyo hawana akili kabisa.

Wangetafuta kiki nyingine sio mambo ya kufa kila siku.
Lenie shida inaweza isiwe yeye shida Ni mashabiki wanaoenda na mdundo kwasababu yeye amepost kitanzi Cha kamba cha kujinyonga bila kuandika caption yoyote tatizo lipo kwa wanao tafsiri na pia yeye aliwahi kukataa kuwa ajawahi kuwa na uhusiano na Mimi Mars zaidi alikuwa na ukaribu nae kwaajili ya kumuandikia wimbo tu na pia Mimi Mars alikataa tetesi ya yeye kuhusishwa kihusiano na Marioo Wao wenyewe walishakataa kuwa kwenye mahusiano kwanini wabongo wanalazimisha kuwa wanamahusiano
 
vijana hua tunaambizana tutafute pesa nyingi zaidi na zaidi ili hata haya mambo yakikukumba usifikirie mambo ya ajabu, ila mnaona hua tunapiga kelele
 
Licha tu ya mtu hebu anza kujifikiria unaachaje ugali dagaa, kachumbali,maharage,samaki na juisi kola.. unaachaje hivi vitu unakimbilia kujitia mkamba wa shingo..[emoji28]
mbona unaacha kuku choma, nyama choma, mbuzi choma, kitimoto, k vant, safari, castle lite, windhoek n.k?
 
Ipo siku utakuja gundua dunia inazunguka itakuja ikufanyie ulivyokua unawafanyia wenzako kila jambo unalofanya ni mbegu isipo ota kwako itaota ata kwa mwanao tuwe simple tu haya maisha aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…