Msanii/Mchungaji Christina Shusho: Nipo kwenye mahusiano serious na mtu wangu ana wivu sana

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .

Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake .

Mchungaji na msanii chistina Shusho anaingia kwenye list ya mastaa wa nyimbo za injili ambao walitengana na waume zao baada ya kufanikiwa kimaisha wakiwemo Rose muhando, Bahati Bukuku ,Upendo Kirahiyo n .k

Biblia inasema c yeyote akiachana na mme wake au mke wake hakika anazini "

USSR

Soma pia Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo
 
Hakuna wa kumuoa bwana labda kama yeye ndio atafute kijana wa kumlipa amsitiri.
 
Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .

Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake .

Mchungaji na msanii chistina Shusho anaingia kwenye list ya mastaa wa nyimbo za injili ambao walitengana na waume zao baada ya kufanikiwa kimaisha wakiwemo Rose muhando, Bahati Bukuku ,Upendo Kirahiyo n .k

Biblia inasema c yeyote akiachana na mme wake au mke wake hakika anazini "

USSR
Dah! Christina amezingua sana. Halafu ni muda muafaka kwake kuacha kutumia jina la Shusho (la mume wake wa ndoa) aliyemkimbia.

Ila nimejifunza kitu pia kwa sisi wanaume kuoa wanawake tuliowazidi umri kwa miaka mingi mfano 10+. Madhara yake ni makubwa sana siku za usoni. Bora kuoa mwanamke unayetofautiana miaka chini ya 10. Na siyo zaidi ya hapo.

Halafu mchungaji gani ana mahusiano ya siri na mtu ambaye hajafunga naye ndoa!! Huu siyo uzinzi wa wazi kweli!
 
Msemo wa mitaani wahenga walisema kila shetani na mbuyu wake, hao wasanii wana wapenzi wao wanaowapenda kwa dhati na kuwaona ndio chaguo lao sahihi
 
Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .

Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake .

Mchungaji na msanii chistina Shusho anaingia kwenye list ya mastaa wa nyimbo za injili ambao walitengana na waume zao baada ya kufanikiwa kimaisha wakiwemo Rose muhando, Bahati Bukuku ,Upendo Kirahiyo n .k

Biblia inasema c yeyote akiachana na mme wake au mke wake hakika anazini "

USSR
Atakuwa diamond tu 😄😄😄
 
Kwani huyu bidada ana umri gani, perfect kwa sisi wazee asee!!
 
Back
Top Bottom