Msanii/Mchungaji Christina Shusho: Nipo kwenye mahusiano serious na mtu wangu ana wivu sana

Msanii/Mchungaji Christina Shusho: Nipo kwenye mahusiano serious na mtu wangu ana wivu sana

Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .

Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake .

Mchungaji na msanii chistina Shusho anaingia kwenye list ya mastaa wa nyimbo za injili ambao walitengana na waume zao baada ya kufanikiwa kimaisha wakiwemo Rose muhando, Bahati Bukuku ,Upendo Kirahiyo n .k

Biblia inasema c yeyote akiachana na mme wake au mke wake hakika anazini "

USSR
Umemsahau Flora Mbasha Kusekwa.
 
Taja nasubir hapa wewe
Kazini nje ya ndoa ....hiyo ni amri ya sita na ushahidi kuwa alifanya uzinzi ni yeye mwenyewe kumwambia mkewe kuwa hatofanya tena kitendo kile....ushahidi wa pili ni kuitajika kushuka kwa wahy kualalisha lile tendo ....kitendo alicho kifanya muhammad cha kuzini na mjakazi wa mkewe vilitendeka hata ndani ya biblia mfano Yakobo(Israel) alioa wake wawili Raheli na Rea na wake zake walikuwa na wajakazi na kumpa Yakobo atembee nao ili kuongeza kizazi ....sasa utasema kama ni hivyo basi muhamadi yupo sahihi ! Jibu Yakobo alifanya hayo kabla ya amri 10...amri 10 zilikuja baadae ...walio zikuta amri 10 ni Mfalme daudi ambaye yeye alioa wake wengi siyo kutembea nao bila ya ndoa ...amri ya 6 ni kwamba hakuna ruhusa kutembea na mwanamke asiye mkeo kwa namna yoyote ....ndani ya uislamu hadi kuna nyakati muhammad na waislamu wenzie ilikuwa ni RUHUSA KUWAINGILIA WASIO WAKE ZAO WALIOPATIKANA KWENYE VITA YAANI MATEKA WA KIKE .(hivyo maswahaba na mtume waliwaingilia hao wanawake bila ya ndoa ...

Surah AL-Mu'minun 23:5-6

Surah AL-Ma'arij 70:29-30

Hii maana yake ndani ya uisla na muhammad na maswahaba wake walikuwa na ruhusa ya kuwaingilia kingono wanawake wote walio wapata mateka vitani bila ya ndoa ....hata kifo cha muhammad kinatokana na michepuko ya wanawake mateka wa vita (soma kisa cha mwanamke myahudi na sumu iliyo muua muhammad)


HII NI KUVUNJWA KWA AMRI YA 6


Sasa tunakuja kuhusu kuvunjwa kwa amri ya 4 ..SABATO

Muhammad na uislamu wote unavunja amri ya nne kama ilivyo kwa amri ya 6 ...siyo Muhammad peke yake anaye zivunja bali ni Muhammad na waislamu wote na msahafu unazivunja hizo amri kutokana na mafundisho yake ..

AMRI ya sabato inasema siku ya 7 ni ya bwana hivyo msifanye kazi wewe wala mjakazi wako wala mtumwa wako wala mifugo yako usivifanyishe kazi ila ndani ya uislamu awafati hiyo siku ambayo ni JUMAMOSI na wala ile siku ya IJUMAA siyo sabato maana mmeambiwa mkisikia swala kimbieni acheni shughuri zenu muende kwenye swala kisha mrudi kwenye kufanya KAZI ZENU ...SABATO NI KOSA KUFANYA KAZI HIYO SIKU ...sasa upo wapi utii wa SABATO NDANI YA UISLAMU?...
HII NI AMRI YA PILI KUVYUNJWA SIYO NA MUHAMMADI TU BALI NA UISLAMU WENYEWE NA WAISLAMU WOTE WANAIVUNJA.....

AMRI NYINGINE AMBAYO MUHAMMAD NA MSAHAFU NA WAISLAMU MMEPEWA KUIVUNJA NI AMRI YA 9.

Al-mukheef adriz The Consigliere FaizaFoxy Jagina Covax Malaria 2 The Icebreaker hamis77
 
Huyo sio Mchungaji ni malaya mmoja tuu mgawa nyapu, Usidhalilishe cheo cha Ungaji kiasi hicho
 
Back
Top Bottom