Dah! Christina amezingua sana. Halafu ni muda muafaka kwake kuacha kutumia jina la Shusho (la mume wake wa ndoa) aliyemkimbia.Sanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .
Awali ndoa yake ya muda na mme wake mbaye pia ni mchungaji mchungaji Shusho ilivunjika na kila mtu akaendelea na huduma yake .
Mchungaji na msanii chistina Shusho anaingia kwenye list ya mastaa wa nyimbo za injili ambao walitengana na waume zao baada ya kufanikiwa kimaisha wakiwemo Rose muhando, Bahati Bukuku ,Upendo Kirahiyo n .k
Biblia inasema c yeyote akiachana na mme wake au mke wake hakika anazini "
USSR
Flora Mbasha, harusi yake ilivunjwa na Josephat Gwajima alipomfanya hawara yakeROSE MUHANDO aliwahi kuolewa na nani
Eeenheee umemsahau yule mwingine FROLA anavunja tu amri ya 7
kile ni chombo tu cha kupitisha ujumbe wa Mungu, kikiharibika na kupata demage kinakuwa rejected mjuba, we sikiliza nyimbo zake ubarikiweMakondoo tunaamini kwamba "tunabarikiwa kupitia nyimbo zake" shame!
Atakuwa diamond tu πππSanii wa nyimbo za injili na mchungaji ametangaza kuwa yupo kwenye mahusiano serious na mtu mwenye wivu na asiyetaka kuonekana .

Duhhhhhhhhhh!