Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

hii kitu imenikumbusha vitu flani,,

Nakumbuka kuna jamaa mmoja aliitwa john njema kwa wanaomkumbuka wayback aliimba wimbo wa wachumba thelathini..huyu jamaaa alikumbwa na kisanga kama hicho at the end alijiua

Jamaa alipataga ugonjwa wa akili akawa anatembea uchi..anarob rob tu mtaani na suti yake ya kuzaliwa bila wasi...jamaa baada ya kupona akawa anapewa stori kuwa alikua anatembea uchi ..inaonekana ile kitu ilimsumbua sana mpaka akaamua ajiue..

Kuna mcheza porn pia anaitwa mia khalifa now ameacha kucheza porn na juzi kati alichumbiwa na mshikaji akataka amuoe..kwenye interview aliulizwa ni kitu gani kinachokutatiza kwenye maisha yako,akajibu hana amani kila sehemu anayokwenda watu wanamshangaa sana na kumtizama kwa jicho flani, like they know kila kitu kuhusu utupu wake ..
Mia Khalifa anajutia sana. Na hakupata hela nyingi kule,wala hakutoa videos nyingi
 
Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??

kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....

mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...

Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....

Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.

Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
Ameen!ila ujue tayari kapigwa 666 kule kuruhusu Mtalimbo wa baharia kuelekea matopeni.
 
Usikute huyo mwanamme ni Gwajima ndiye aliyempiga picha na kusambaza mtandaoni
 
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

View attachment 1229614
Basata wameuangalia mzigo.

Wameupataje? Hilo ndio swali.
 
Sijawahi on a video msanii akibadirisha pedi. Hizi mambo wao wenyewe wanazitaka na wana sambaza wao wenyewe
 
Nimetoka kusikiliza intvw wa aliyekuwa mume wake wa pili,jamaa ni Gentleman japokuwa mwandishi alikuwa ana mchokonoa lkn amemstiri sana Menina.



Ila najiulizaga hivi kwa nini wanawake ,wanapenda wanaume wahuni wahuni,pasta vichwa,wale wenye maneno mengi kama Mwijaku alafu wanawaacha watu wa maana,yaani sijui kwenye vichwa vyao huwaga wana wazaga nini.

Alafu kumbe video zile Menina ndiye aliyemtumia Mwijaku,sasa sijajua ndio alikuwa ana mtongoza ili amgonge,Mwijaku naye ndio akaamua kuziachia.

Ila dada zangu huwaga wanaponzwaga sana na maamuzi yao mabovu,yaani video ya masaa machache,iliyovujishwa na mpuuzi Mwijaku asiyejua thamani na utu wa Mwanamke,ishamshusha thamani Menina.

Alafu masistaa du na macelebrity wengi wa bongo wanazo hizi video tena wemejirekodi kwa utashi wao wenyewe,tena wengine wanazisambaza wenyewe,manake hizi video zishakuwa kama series hatujui kesho itakuwa zamu ya nani.
 
BASATA nao mda mwingine sijui wanawaza nini? Inabidi Watafute aliyevujisha sio aliyecheza au kufanya ngono Maana Kila mtu duniani na starehe Yake
 
Back
Top Bottom