Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Nimetoka kusikiliza intvw wa aliyekuwa mume wake wa pili,jamaa ni Gentleman japokuwa mwandishi alikuwa ana mchokonoa lkn amemstiri sana Menina.



Ila najiulizaga hivi kwa nini wanawake ,wanapenda wanaume wahuni wahuni,pasta vichwa,wale wenye maneno mengi kama Mwijaku alafu wanawaacha watu wa maana,yaani sijui kwenye vichwa vyao huwaga wana wazaga nini.

Alafu kumbe video zile Menina ndiye aliyemtumia Mwijaku,sasa sijajua ndio alikuwa ana mtongoza ili amgonge,Mwijaku naye ndio akaamua kuziachia.

Ila dada zangu huwaga wanaponzwaga sana na maamuzi yao mabovu,yaani video ya masaa machache,iliyovujishwa na mpuuzi Mwijaku asiyejua thamani na utu wa Mwanamke,ishamshusha thamani Menina.

Alafu masistaa du na macelebrity wengi wa bongo wanazo hizi video tena wemejirekodi kwa utashi wao wenyewe,tena wengine wanazisambaza wenyewe,manake hizi video zishakuwa kama series hatujui kesho itakuwa zamu ya nani.
Hiyo mwanamke nature ni mcharuko
Malay tu

Ova
 
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

View attachment 1229614
Na yeye ni muhanga kama mch Gwajima, atendewe haki
 
Unaanzaje kukubali kurikodiwa? Mambo ya faragha eti mnajirikodi, tatizo ni ujinga tu umewatawala watu siku izi na kutaka kuiga mambo ya watu.
Hujui nguvu ya penzi likiwa bado jipya jipya.
 
Hiyo video iko wakuu!!

mwenye nayo aweke hapa au pm yangu iko wazi waweza kuniachia huko!
Unakwama wapi wakati mzee baba kashapata mzigo mapema tu...Anasema ni wenyewe kabisaaa
 

Attachments

  • VID-20191010-WA0056.mp4
    246.5 KB
Ukuu ile picha tu watoto wavivu kama wale unawapiga kichuma mboga au mbuzi kagoma ndio unamfaidi nashangaa mwijaku sijui alikua anamuonea huruma akamuacha alale
Sasa chalii mwenyewe huyo wa kigoma huko amezoea kula mawese atajua nini.
 
Back
Top Bottom