Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
Video IPO mkuuTangu asubuhi naitafuta siipati
Macho tungeyaosha lini aliyevujisha ni wa juuKila mmoja akiulizwa usiku wa kuamkia leo ulikuwa unafanya nini....wengine watapata kigugumizi kuzungumza.Aliyevujisha ndio mwenye kosa
Mia Khalifa anajutia sana. Na hakupata hela nyingi kule,wala hakutoa videos nyingihii kitu imenikumbusha vitu flani,,
Nakumbuka kuna jamaa mmoja aliitwa john njema kwa wanaomkumbuka wayback aliimba wimbo wa wachumba thelathini..huyu jamaaa alikumbwa na kisanga kama hicho at the end alijiua
Jamaa alipataga ugonjwa wa akili akawa anatembea uchi..anarob rob tu mtaani na suti yake ya kuzaliwa bila wasi...jamaa baada ya kupona akawa anapewa stori kuwa alikua anatembea uchi ..inaonekana ile kitu ilimsumbua sana mpaka akaamua ajiue..
Kuna mcheza porn pia anaitwa mia khalifa now ameacha kucheza porn na juzi kati alichumbiwa na mshikaji akataka amuoe..kwenye interview aliulizwa ni kitu gani kinachokutatiza kwenye maisha yako,akajibu hana amani kila sehemu anayokwenda watu wanamshangaa sana na kumtizama kwa jicho flani, like they know kila kitu kuhusu utupu wake ..
Ameen!ila ujue tayari kapigwa 666 kule kuruhusu Mtalimbo wa baharia kuelekea matopeni.Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??
kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....
mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...
Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....
Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.
Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
Mzuri wapi labda abaki na nguo tu, mwili umejaa manundu manundu.
Kama lile tako mchina kabisa pale nundu kama zote.Mzuri wapi labda abaki na nguo tu, mwili umejaa manundu manundu.
Basata wameuangalia mzigo.Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.
Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.
View attachment 1229614
Wameshakiuka sheria za TCRA kusambaziana mzigo. ( Hiyo basata wameusamba na kusambaziana kupitia whatsapp ) ambalo ni kosa kisheria.Basata wameuangalia mzigo.
Wameupataje? Hilo ndio swali.
sema lina madimpozHivi menina anaishi mitaa gani hapa dar manake mtoto anatako hatari
usikute ata mama ako ni CHADEMAMashabiki wa chadema wanachokiweza hapa duniani ni video za ngono tu
sure...ni kitu ambacho inabidi uwe bandidu hasa ili uendelee na maisha yako ya kawaida...ila itakuathiri sana kisaikolojiaMia Khalifa anajutia sana. Na hakupata hela nyingi kule,wala hakutoa videos nyingi
Unayo?Sheria imbane sana mwanaume maana ndiyo chanzo cha kuvujisha kwa hizi picha
Menina hatari mtoto lainiiiiiiiUngefanya la maana sana kama na hiyo video ungeweka tuione kwa faida ya wengine