DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
kitendo cha kuanza kurekodi huo uchafu ni kukosa akili kati yao wote wawili na ukiangalia vizuri demu naye alikua anafurahi sasa hakujua kama mwenzie ni taahiraHata kama kukiwa na kutokuelewana kuvujisha picha za uchi za demu wako sio maadili ya mwanaume anaejitambua
Msimlete shetwani humu lete hata clip moja tujue ka ni ya jehanam au ya huku kwetuHakuna photoshope rafiki shetwani ametamalaki
Mbona alikuwa msafi tu... Uchafu ulitoka wapi sasa.... Na huo utupu ni wake au ni wa jamhuri....!?Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.
Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.
View attachment 1229614
Wao ndio wanaojizalilisha.Papuchi sio ya kumpa kila mtu.Dada zetu sijui wanakwama wapi!Sio kila mwanaume anavuliwa Pichu wengine ni vichaa hawajui privacy.Huyo Mshenzi Menina Ni wa kukata kichwa chake pumbavu kabisa.Wanaume tunawadhalilisha sana wakina mama, jamaa alievujisha hajafanya poa
Na wewe siku hizi umekengeuka!! Unatoa hukumu kabla hujamsikiliza mtuumiwa?!?!Nawaomba BASATA wawe wanachukua hatua kali mno. Hawa wanaoitwa Wasanii hujibanza huko kutafuta umaarufu kwa kuvunja maadili yetu kama Taifa. Kutokana na adhabu zisizotisha kwao wahusika, huwa wanapeana zamu ya kuachia mambo yao machafu hadharani. Bure kabisa hawa wanaojiita Wasanii!
Hata Mimi aisee kumbe kamefanikiwa kupata umaarufu mpaka sisi wa Samvula Chole tumemfahamu.Nimemjua jana huyu binti ila ana Shundu lenye mabonde sana
tehteh video nayo nii sanaa!,,,Kuna watu hawakumuelewa Lowasa aliposisitiza suala la ELIMU.
kweli aisee,,,Mkuu
Ni kama “Vita ya Ufisadi Inawakwepa Wanasiasa”!
Nchi haina rule of law...
Kuna sheria kwa ajili ya Wakubwa na sheria zingine kwa ajili ya Wachovu!
Nchi moja two systems!
Tumia akili kufikiria acha ujuaji business as usualUsiusemee moyo wa demu wewe.
Wale wote waliovujishiwa wako hot sasa ivi, hata wewe unaweza ukatangaza ndoa.Ni swala la muda tu.
Ngoja nikupe mfano.
1.Nsia
2.Nandy
3.Marium Birian etc
Hao sasa iv ukienda na buku jero lako, hulambi kitu.
Mbona thread inasema alijirekodi, sasa mwanaume anaingiaje hapo? Kadukuliwa?Sheria imbane sana mwanaume maana ndiyo chanzo cha kuvujisha kwa hizi picha
Tena P Funk majani alikua anaitamani sana nafasi ya uongozi wa Basata sijui aliishia wapi.. wampe majani aiseeSijajua ni kwanini basata haipiganii kabisa maslahi ya wasanii.. Zaidi huwa naona inatoa adhabu peke yake... Mi nadhani kuna Muda kama hawa wangekua na maslahi mazuri kwenye kazi wanazo fanya nao pia wangekua ni watu wa mfano wa kuigwa kwenye jamii.. Lakini sasa tunapoelekea mzazi kumrusu mtoto hasa wa kike kushiriki kwenye sanaa itakuwa ni ngumu mno..
Basata wasanii wanafanya sana Kazi.. Ila maslahi hamna hilo ni tatizo inatakiwa mtatue nyie sio kuita ita wasanii Muonekane na nyie mpo mnafanya Kazi... Kumbe hamna kitu..
Alafu napendekeza kwenye taasisi yenu wazee wapungue.. Wawekwe vijana angalau nadhani tutaona mabadiliko.