Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Hata kama kukiwa na kutokuelewana kuvujisha picha za uchi za demu wako sio maadili ya mwanaume anaejitambua
kitendo cha kuanza kurekodi huo uchafu ni kukosa akili kati yao wote wawili na ukiangalia vizuri demu naye alikua anafurahi sasa hakujua kama mwenzie ni taahira
 
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.

Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.

Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.

View attachment 1229614
Mbona alikuwa msafi tu... Uchafu ulitoka wapi sasa.... Na huo utupu ni wake au ni wa jamhuri....!?
 
Wanaume tunawadhalilisha sana wakina mama, jamaa alievujisha hajafanya poa
Wao ndio wanaojizalilisha.Papuchi sio ya kumpa kila mtu.Dada zetu sijui wanakwama wapi!Sio kila mwanaume anavuliwa Pichu wengine ni vichaa hawajui privacy.Huyo Mshenzi Menina Ni wa kukata kichwa chake pumbavu kabisa.
 
Nawaomba BASATA wawe wanachukua hatua kali mno. Hawa wanaoitwa Wasanii hujibanza huko kutafuta umaarufu kwa kuvunja maadili yetu kama Taifa. Kutokana na adhabu zisizotisha kwao wahusika, huwa wanapeana zamu ya kuachia mambo yao machafu hadharani. Bure kabisa hawa wanaojiita Wasanii!
Na wewe siku hizi umekengeuka!! Unatoa hukumu kabla hujamsikiliza mtuumiwa?!?!

Sijui ccm wamekulisha nini mjukuu. Nilikua nakukybali saaana but tangu uanze kujimwambafy nakuona kama nyanganyanga
 
Tunaishukuru serikali ya ccm kutuwezesha kuona video ya menina..tunaomba basata watumie busara katika kushughulikia suala hili ili lisiweze kuathiri maendeleo yetu sisi ma baharia.
#MaendeleoHayanaChama.
 
Mwenye nayo anitumie ibox vocha ya bando lake namrudishia.
 
Dah! Huyu si anaweza pindua hata nchi kwa uzuri huu...
 
By the way baada ya kutafuta connection sanaaaaaa nimezipata ila kiukwel wanaosema sijui ana mabonde bonde wanazingua yale sio mabonde sema yule mtoto kanona sana yaan hips na makalio yamenenepeana daa aisee mtoto mzur kinoma wanaoponda wote hawajui utamu wa watoto dizain kama ya menina
 
Usiusemee moyo wa demu wewe.
Wale wote waliovujishiwa wako hot sasa ivi, hata wewe unaweza ukatangaza ndoa.Ni swala la muda tu.
Ngoja nikupe mfano.
1.Nsia
2.Nandy
3.Marium Birian etc

Hao sasa iv ukienda na buku jero lako, hulambi kitu.
Tumia akili kufikiria acha ujuaji business as usual
 
Ataitwa Basata
Keshokutwa Atakuwa mgeni rasmi kma role model wa watz wanaopenda kuwa wajasiriamali
Mara mwakani Usishangae akawa mbunge etsetraaa

Ova
 
Sijajua ni kwanini basata haipiganii kabisa maslahi ya wasanii.. Zaidi huwa naona inatoa adhabu peke yake... Mi nadhani kuna Muda kama hawa wangekua na maslahi mazuri kwenye kazi wanazo fanya nao pia wangekua ni watu wa mfano wa kuigwa kwenye jamii.. Lakini sasa tunapoelekea mzazi kumrusu mtoto hasa wa kike kushiriki kwenye sanaa itakuwa ni ngumu mno..

Basata wasanii wanafanya sana Kazi.. Ila maslahi hamna hilo ni tatizo inatakiwa mtatue nyie sio kuita ita wasanii Muonekane na nyie mpo mnafanya Kazi... Kumbe hamna kitu..

Alafu napendekeza kwenye taasisi yenu wazee wapungue.. Wawekwe vijana angalau nadhani tutaona mabadiliko.
Tena P Funk majani alikua anaitamani sana nafasi ya uongozi wa Basata sijui aliishia wapi.. wampe majani aisee
 
Back
Top Bottom