Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Hawa wasanii bongo movie ni micharuko tu
Wanajiuza kimtindo uhuni kwao fashion

Ova
 
Baada ya game kunakuwaga na highlight za games. Hizo huwezi kuzipata kama hukurekod na hizi zinawasaidia watazamaji ambao hawakupata wasaa wa kuicheck game na hata watangazaji wanapochambua mechi hutumia hizo highlights.
Niwaulize watangazaji, mmeuonaje mchezo?
Nawasilisha
 
Basata itufikirie na sisi mabachela isitukatili.
 
hatari sana na ule uweupe aiseee
 
Wanaume tunawadhalilisha sana wakina mama, jamaa alievujisha hajafanya poa
Daah kuna clip nimeisikia huyu demu akibishana na huyo jamaa na msichana alikuwa akilalamika kwamba ameshampatia jamaa pesa nyingi ili asivujishe ila alihitaji pesa zaidi ....
 
Sasa hapo kwakomenti hii yakwako,huoni hata wewe ungevujisha hiyo video?Nakutilia shaka utimamu wako kwa jinsi ulivyokomenti,samahani lakini.
Pengine kiswahili ni tatizo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…