mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hawa wasanii bongo movie ni micharuko tuLeo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??
kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....
mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...
Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....
Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.
Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
Wanajiuza kimtindo uhuni kwao fashion
Ova