Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??

kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....

mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...

Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....

Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.

Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
Hawa wasanii bongo movie ni micharuko tu
Wanajiuza kimtindo uhuni kwao fashion

Ova
 
Baada ya game kunakuwaga na highlight za games. Hizo huwezi kuzipata kama hukurekod na hizi zinawasaidia watazamaji ambao hawakupata wasaa wa kuicheck game na hata watangazaji wanapochambua mechi hutumia hizo highlights.
Niwaulize watangazaji, mmeuonaje mchezo?
Nawasilisha
 
Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemuita msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Menina ofisini kwake kwa mahojiano zaidi kuhusu video zake chafu zinazosambaa mtandaoni.
Taarifa hiyo iliyotolewa leo Oktoba 11, 2019 na Katibu Mtendaji BASATA, inamtaka msanii huyo kufika katika Ofisi za BARAZA hilo mchana wa leo.
Kwa siku mbili zilizopita kumekuwa na video chafu mitandaoni zikimuonesha, Menina akiwa utupu huku akijirekodi kwa njia ya simu.
View attachment 1229614
Basata itufikirie na sisi mabachela isitukatili.
 
By the way baada ya kutafuta connection sanaaaaaa nimezipata ila kiukwel wanaosema sijui ana mabonde bonde wanazingua yale sio mabonde sema yule mtoto kanona sana yaan hips na makalio yamenenepeana daa aisee mtoto mzur kinoma wanaoponda wote hawajui utamu wa watoto dizain kama ya menina
hatari sana na ule uweupe aiseee
 
Wanaume tunawadhalilisha sana wakina mama, jamaa alievujisha hajafanya poa
Daah kuna clip nimeisikia huyu demu akibishana na huyo jamaa na msichana alikuwa akilalamika kwamba ameshampatia jamaa pesa nyingi ili asivujishe ila alihitaji pesa zaidi ....
 
Back
Top Bottom