Msanii Menina aitwa na BASATA baada ya video zake zisizo na maadili kusambaa

Hasara kwa wazazi na ndugu zake maana washaziona
 
Tunakoenda hacking itasumbua, tusiwekeane kamera bedroom ili kupiga shekeli kiaina. Humu jf haipo ,twiter, insta na youtube siioni mtandao gani sasa.
Anyway chukueni dolali zake si alikuwa ana jimbwafai kwa kujirekodi
 
Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??

kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....

mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...

Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....

Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.

Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
 
Achana na mambo ya kuvujisha, kwanini usikemee mambo ya recording? Kama walikubaliana kurekodi basi wote ni wapuuzi wakubwa!
Hata kama kukiwa na kutokuelewana kuvujisha picha za uchi za demu wako sio maadili ya mwanaume anaejitambua
 
Mwijaku nae fala sana sasa amezivujisha za nini? Anajitia mwanaume wa maana anaempenda mke wake na mavide kibao instagram kumbe nae anachepuka? Tena anaeokdi kabisa, kweli hakuna siri ya wawili duniani.
 
Leo nimesikia kuna mtangazaji sijui menina picha zake za chumbani zimevuja mtandaoni!! hivi mpaka unajichukua picha za uchi kwenye simu yako na unazisave au labda bwana wako anazisave hivi hujui kama IPO siku hayo mambo yatakuwa hadharani!!??

kwann wanawake mnakuwa hamjionei huruma kwa jamii inayowazunguka?? haya mambo kwann yanafanyika kwa wanawake tu?? au ndo kusema pesa ngumu sana mpaka unaishia kufanya huu udhalilishaji wa kijinsia?? maana hapa nikuwatukana wanawake wenzio....

mambo ya chumbani yaishie chumbani tu mambo ya kurecord video au kupiga picha ni kujidhalilisha...

Nanyie wanaume mnaowalazimisha mabinti ili kuwarecord muwe na haya jamani sasa unataka umrecord ili iweje? wakati kitumbua unakila muda wowote na sioni kama kuna kitu cha kushangaza mpaka umrecord mtu ....

Ee mwenyezi Mungu baba uishie Mbinguni tazama hichi kizazi cha sasa kinavyoangamia kwa kukosa maarifa, Baba wa Mbinguni tunaomba msamaha wako kwa hili taifa la Leo. Fanya akili zetu zikawaze kufanya matendo yanayokupendeza wewe, utuepushe na maovu ya kidunia...Tunakataa kuwa watumwa wa Shetani, tunahitaji rehema zako na baraka zako...Amen.

Nawatakia siku njema wana Jf Ila uzidi kujitafakari kuwa ile siku parapanda itakapolia utakwenda wapi!! tuishi tukijua kuwa kuna adhabu na maumivu makali sana kwenye ziwa la moto huko peponi!! yaani utalia lakini machozi hayatakutoka, utamani uteketee lakini hautateketea!!..
Nawew habari kamili utakuwa huijui. Kila kosa likifanyika ni wanaume, huwazi kuwa ni ujinga wa mwanamke au wote wawili??

Vids zinaonyesha yeye ndio alikuwa akiset kamera, kisha kufata yaliyotokea, kalazimshwaje hapo.

Huwa watu wana play victim wakati mambo yaki haribika, kosa la huyo bwege kuzivujisha na kuwapa mabaharia fahari ya macho.
 
Ivi aliye vujisha sheria inasemaje .kafanya kitu kibaya sana
 
Napata dondoo juu ya kuvuja kwa picha za na video chafu za huu mwanadada
Tafadhari kama kuna mwenye naonayo naomba a share nasi ili nipata ushahidi kamili

*Nimekosa connection kbsa
FB_IMG_1570794777436.jpeg
 
Sasa hiyo habari kamili iko wapi? Ujue Nina hasira nimekosa koneksheni ya hiyo sinema halafu wewe unaketa za kuleta. Shubaaammmitt
 
Back
Top Bottom