mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
ilikua elfu 1 tu.Acha uongo...ilikuwa 1500!
Hapo nipo form one. Nakumbuka bro aliirekodi kwenye tape iyo nyimbo tu, nikamfichia π then nazuga namsaidia kuitafuta. Nilikua napenda jina lake tu Ferouz.π2004 hiyo, where were you?π
Alitengeneza pesa nyingi, Ila waganga na uchimbaji madini vikammaliza
Feruzi katamba miaka ya elfu mwanzoni tu hapo, 30000 ya kipindi hicho ni kama 100000+ hivi ya sasa hivi. Hata ivyo bado ni ndogo enzi zake starehe ipo kwenye chati alikua anasukuma jeep kali sana labda kama anaongelea miaka ya 90 daz nundaz wakiwa underground ila baada ya kutoa ule wimbo wa kamanda chati yao ilipanda ukiniambia walikua wanalipwa 30k nakataaKipindi hicho elfumoja ni kama laki moja.hela ilikuwa na thamani sana tofauti na sasa.mama Samia kaharibu uchumi Hadi kupelekea Hela yetu kushika sana thamani.kwa Sasa Dola Moja ni 2690 na Hadi amalize itafika elfukumi
Elfu 1? Ugali 2003, ilikua 1500ilikua elfu 1 tu.
Nakumbuka enzi hizo Juma nature anatesa na wimbo wake wa Ugali tulikua tunanunua kanda kwa bukubuku
2004 form 1? Kumbe kilomita bado kabisa, hapo namba DHapo nipo form one. Nakumbuka bro aliirekodi kwenye tape iyo nyimbo tu, nikamfichia π then nazuga namsaidia kuitafuta. Nilikua napenda jina lake tu Ferouz.π
Sasa hivi hata kuangalia video za bongo fleva ukiwa na wazee wako huwezi maana humo ndani ni matusi na wanawake kukaa uchi tu.Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, Nimeshaachana na Jack sasa namfata Salama, Saa kumi na mbili na appointment mademu wawili
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili.
Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo tena duniani, Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni
Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni"
So Bado unauliza why kuzeekaling? π₯
Btw huyu tulilipa viingilio kusikiliza darasa, Siku hizi tunalipa viingilio kusikiliza matusi ππ
Pesa alipata baada ya kwenda kwa majaniFeruzi katamba miaka ya elfu mwanzoni tu hapo, 30000 ya kipindi hicho ni kama 100000+ hivi ya sasa hivi. Hata ivyo bado ni ndogo enzi zake starehe ipo kwenye chati alikua anasukuma jeep kali sana labda kama anaongelea miaka ya 90 daz nundaz wakiwa underground ila baada ya kutoa ule wimbo wa kamanda chati yao ilipanda ukiniambia walikua wanalipwa 30k nakataa
Sasa uko kwa majani si ndo wameenda miaka ya 2000 tu hapo ile kamanda ilivuma mzee baba kusema walikua wanafanya show bure unatudanganya labda useme enzi zile za maji ya shingo.Pesa alipata baada ya kwenda kwa majani
Wakati wanatoa Kamanda hakuna pesa yoyote walipata, achana na kulipwa 30k, show nyingi walifanya bure kabisa
Walikua wanafanya kama passion tu hata hivyo walikua bado o level na hawalewi chochote
Basi unachezea kwenye 82-85 kama shule ilikua Moja kwa Moja.2004 form 1? Kumbe kilomita bado kabisa, hapo namba D
2004 ndiyo namaliza form four
π Kweli, hicho ni kizazi chetu na wazazi wetu . Ila kizazi chetu na watoto wetu. Tayari tumeshakua brainwashed kwamba ni kitu Cha kawaida tu. π₯π₯Sasa hivi hata kuangalia video za bongo fleva ukiwa na wazee wako huwezi maana humo ndani ni matusi na wanawake kukaa uchi tu.
Asiye na kitu mi naona bora abaki,tusije mbele shikana mashati,suka eeeh tuanzie Masaki mchizi kapiga simu yani kuna bonge la pati." Si bora iyo bati ukanywe chai na chapati'
Nipo juu ya 85Basi unachezea kwenye 82-85 kama shule ilikua Moja kwa Moja.
Mi namba B wewe, ila Odometer imechezewa utapigwa kweupe ππ.
Kizazi cha watoto wetu na wajukuu wetu sijui hali itakuaje ππππ Kweli, hicho ni kizazi chetu na wazazi wetu . Ila kizazi chetu na watoto wetu. Tayari tumeshakua brainwashed kwamba ni kitu Cha kawaida tu. π₯π₯
Nakuambia ukweli, kabla hawajaenda kwa majani hakuna kitu walikua wanapata/anapataSasa uko kwa majani si ndo wameenda miaka ya 2000 tu hapo ile kamanda ilivuma mzee baba kusema walikua wanafanya show bure unatudanganya labda useme enzi zile za maji ya shingo.
Kuhakikisha its not an easy task, u have to outsmart mie. Na si kazi ndogo,Nipo juu ya 85
Shule ilikua moja kwa moja
Hapo kwenye odometer mpaka nihakikishe kama imerudishwa nyuma au ni yenyewe
Nina uhakika hiyo namba ni D, tena kwa hiyo position. Uliyonayo ya Lt.Colonel
Hapa mtu ataliwa muda si mrefuKuhakikisha its not an easy task, u have to outsmart mie. Na si kazi ndogo,
Hiyo posi ya unusu keno.. labda umeitaja kama blessings tu zijazo I receivππ
kwanza mi mpanda miti kwa Dr Ashatu kijaji
There are lots of ways to do this, but in general the best way I use to outsmart a smart person like u is to change the rules of whatever game is being playedπKuhakikisha its not an easy task, u have to outsmart mie. Na si kazi ndogo,
Hiyo posi ya unusu keno.. labda umeitaja kama blessings tu zijazo I receivππ
kwanza mi mpanda miti kwa Dr Ashatu kijaji