Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

" Si bora iyo bati ukanywe chai na chapati' Ngwea.
Yaani miaka hiyo sh 100 unapata chai ziwa na chapati' mbili. So 30k ilikuwa pesa ya kutosha tuu. Kwanza bia ilikuwa inauzwa sh 550.
 
Kipindi hicho elfumoja ni kama laki moja.hela ilikuwa na thamani sana tofauti na sasa.mama Samia kaharibu uchumi Hadi kupelekea Hela yetu kushika sana thamani.kwa Sasa Dola Moja ni 2690 na Hadi amalize itafika elfukumi
Feruzi katamba miaka ya elfu mwanzoni tu hapo, 30000 ya kipindi hicho ni kama 100000+ hivi ya sasa hivi. Hata ivyo bado ni ndogo enzi zake starehe ipo kwenye chati alikua anasukuma jeep kali sana labda kama anaongelea miaka ya 90 daz nundaz wakiwa underground ila baada ya kutoa ule wimbo wa kamanda chati yao ilipanda ukiniambia walikua wanalipwa 30k nakataa
 
Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, Nimeshaachana na Jack sasa namfata Salama, Saa kumi na mbili na appointment mademu wawili
Achana na Lily ambae tutakutana saa mbili.
Jenny wa Mikocheni ambae sasa hayupo tena duniani, Aliyekuwa akinisubiria pale Vatcan Kijiweni
Amina na Semeni tunakutana kwa Macheni"

So Bado unauliza why kuzeekaling? 😥
Btw huyu tulilipa viingilio kusikiliza darasa, Siku hizi tunalipa viingilio kusikiliza matusi 😏😏
Sasa hivi hata kuangalia video za bongo fleva ukiwa na wazee wako huwezi maana humo ndani ni matusi na wanawake kukaa uchi tu.
 
Feruzi katamba miaka ya elfu mwanzoni tu hapo, 30000 ya kipindi hicho ni kama 100000+ hivi ya sasa hivi. Hata ivyo bado ni ndogo enzi zake starehe ipo kwenye chati alikua anasukuma jeep kali sana labda kama anaongelea miaka ya 90 daz nundaz wakiwa underground ila baada ya kutoa ule wimbo wa kamanda chati yao ilipanda ukiniambia walikua wanalipwa 30k nakataa
Pesa alipata baada ya kwenda kwa majani
Wakati wanatoa Kamanda hakuna pesa yoyote walipata, achana na kulipwa 30k, show nyingi walifanya bure kabisa
Walikua wanafanya kama passion tu hata hivyo walikua bado o level na hawalewi chochote
 
Sasa uko kwa majani si ndo wameenda miaka ya 2000 tu hapo ile kamanda ilivuma mzee baba kusema walikua wanafanya show bure unatudanganya labda useme enzi zile za maji ya shingo.
 
Basi unachezea kwenye 82-85 kama shule ilikua Moja kwa Moja.
Mi namba B wewe, ila Odometer imechezewa utapigwa kweupe 😂😂.
Nipo juu ya 85
Shule ilikua moja kwa moja

Hapo kwenye odometer mpaka nihakikishe kama imerudishwa nyuma au ni yenyewe

Nina uhakika hiyo namba ni D, tena kwa hiyo position. Uliyonayo ya Lt.Colonel
 
😂 Kweli, hicho ni kizazi chetu na wazazi wetu . Ila kizazi chetu na watoto wetu. Tayari tumeshakua brainwashed kwamba ni kitu Cha kawaida tu. 😥😥
Kizazi cha watoto wetu na wajukuu wetu sijui hali itakuaje 😀😀😀
 
Sasa uko kwa majani si ndo wameenda miaka ya 2000 tu hapo ile kamanda ilivuma mzee baba kusema walikua wanafanya show bure unatudanganya labda useme enzi zile za maji ya shingo.
Nakuambia ukweli, kabla hawajaenda kwa majani hakuna kitu walikua wanapata/anapata
Kuvuma kwa kamanda wala hakukuhusiana na pesa, show nyingi walipiga bure kabisa
 
Nipo juu ya 85
Shule ilikua moja kwa moja

Hapo kwenye odometer mpaka nihakikishe kama imerudishwa nyuma au ni yenyewe

Nina uhakika hiyo namba ni D, tena kwa hiyo position. Uliyonayo ya Lt.Colonel
Kuhakikisha its not an easy task, u have to outsmart mie. Na si kazi ndogo,
Hiyo posi ya unusu keno.. labda umeitaja kama blessings tu zijazo I receiv😂😂
kwanza mi mpanda miti kwa Dr Ashatu kijaji
 
Kuhakikisha its not an easy task, u have to outsmart mie. Na si kazi ndogo,
Hiyo posi ya unusu keno.. labda umeitaja kama blessings tu zijazo I receiv😂😂
kwanza mi mpanda miti kwa Dr Ashatu kijaji
There are lots of ways to do this, but in general the best way I use to outsmart a smart person like u is to change the rules of whatever game is being played😂
Then I put my formidable intellects

Lt.col is what you deserve and if not, I'm sure next 3 or 5yrs you will fall to this rank. It's a blessings though

Ashatu she is good but out of touch, narespect lakini vile anafanya
 
Back
Top Bottom