Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Mwanaume hatakiwi kulia kabisa...hata kitokee nini, mimi toka niwe na ufahamu sijawahi kulia na sitegemei, labad siku wasiojulikana waninase wabane pumbu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbu haijawahi naswa kwenye zip Shem lake..utalia mwenyewe bila kunaswa na wasiojulikana
 
Moni almds respect Adam alvo ulzwa swal dogo tu kapaniki that y
Ange takiwa awe hamble s kupanik tatzo wasani weng wa bongo ata interview awa jui kujib ina kuwa kama vta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa sjui alkuwa ka lewa maana alpanik sana akat swal la kawaida tu kaulzwa
 
Moni Centrozone ambaye ni msanii wa hiphop kutoka Tanzania, leo hii 'amemwaga chozi' live kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds FM Radio kila siku ya j3 mpaka ijumaa kuanzia sa7 mpaka 10. Hali hiyo imetokea ghafla baada ya kupishana kauli na Adam Mchomvu kuhusu nani mkali kati ya Country Boy na Chin Bees. Adam alikuwa akimuuliza Moni kuhusu Chin Bees na Moni alikataa kuongelea kitu chochote kinachomuhusu Chin Bees, hali hiyo iliendelea mpaka Moni alipodai kuwa Mchomvu ndiye anayetaka kuanzisha bifu kati ya Chin Bees na Country na kitu hicho yeye (Moni) hakijampendeza hali iliyosababisha Mchomvu atoke nje ya studio wakati Moni Centrozone akitambulisha wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina "La Moto" uliofanywa na S2kizzy. Wakati anatambulisha ngoma yake, Moni Centrozone alimwaga chozi na kudai Adam hajamfanyia fear kutoka nje wakati yeye (Adam) ndiyo mtangazaji wa kwanza kumpa (Moni) interview clouds fm, hata hivyo walipatanishwa kabla ya kipindi kuisha na B12.
Moni Centrozone.png
Moni Centrozone anatamba na nyimbo kama Mtiti, Mihela, Tunaishi Nao, Usimsahau Mchizi ambao ameshirikiana na Roma kabla ya kutekwa! Usikilize wimbo uliofanya akagombana na Adam Mchomvu hapo chini.
 
Attachments

Interview nme skiliza moni ana paniki sana swal kama uwez jib us panik ndio maana ya usomi. Wasani wana bidii wajifunze kujib maswal kweny interview s kupanik, saiv Adam awez msapot tena kama mwanzo
 
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??

Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..

Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine

What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
Mchele mchele! Wanaanza kulilia microphone then wanalilia naniliu maninaaaa..how come mwanaume unakuwa mlaini laini?
 
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??

Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..

Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine

What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
Admin anzisheni jukwaa la watoto
 
Back
Top Bottom