IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Public sympathy au ulimbukeni
Mwanaume kabisa unalia lia hovyo in public??? No way....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Public sympathy au ulimbukeni
Oy Mimi sijaelewa hii comment inachekesha vipi?Hahahahha Dah!!
Mwanaume mwenye akili timamu unaliaje ovyo ovyoHahahah Daah
Mwanaume hatakiwi kulia kabisa...hata kitokee nini, mimi toka niwe na ufahamu sijawahi kulia na sitegemei, labad siku wasiojulikana waninase wabane pumbu[emoji23]Mwanaume mwenye akili timamu unaliaje ovyo ovyo
Kwa hiyo unataka na wengine tusikilize unachosikiliza wewe?Tofaut na Sports HQ ya E -Fm, redio siskiliz kabisaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pumbu haijawahi naswa kwenye zip Shem lake..utalia mwenyewe bila kunaswa na wasiojulikanaMwanaume hatakiwi kulia kabisa...hata kitokee nini, mimi toka niwe na ufahamu sijawahi kulia na sitegemei, labad siku wasiojulikana waninase wabane pumbu[emoji23]
Mchele mchele! Wanaanza kulilia microphone then wanalilia naniliu maninaaaa..how come mwanaume unakuwa mlaini laini?Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??
Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..
Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine
What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
Admin anzisheni jukwaa la watotoLeo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??
Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..
Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine
What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
Huddabosichiki huyu binti wa Kenya?ina maana kijana ana uhusiano wowote na huyo binti?Moni ameambukizwa tabia za kidemu za kulia hovyohovyo kutoka kwa huddabosichiki.