Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??

Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..

Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine

What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
Kama hujamjua vizuri Mchomvu ana ungese mwingi Sana... Anakera Sana yani... Na ana uarusha kupitiliza ... Akihoji watu wa Kanda zingine iwe nyanda za juu kusini Mabovu mwenyewe alipenda kuita Dirty South... Ana Kanda ya Ziwa ni hawezi kukuuliza kuhusu huko unapotoka yeye atabaki tu kulinganisha Kaskazini na huko... Ama anaweza kabisa kuwa amekuita wewe studio lakini mahojiano yote yakatawaliwa na maswali yasiyo kuhusu wewe ni mmakunduchi Sana huyo bowyer
 
Afu kwa mwana hiphop kulia nidalili za kukosa marinda mabahari tukutane kikao cha dharura
 
Wazee wamefua cheki wanavomwaga povu..//
Wanapiga magoti kwa Dozen na Adam Mchomvu..//...
 
Atoke na hudda atambe! Demu wake anaitwa nai anajifananushaga na huddathebosschick
Japo Huddah Monroe na Nai Music wanafanana kinyama,,Nampenda sana Nai music hakyanani,Yna2 kama una Contacts za Ting'ling'li zake nisololeshee asee!!
 
Kama hujamjua vizuri Mchomvu ana ungese mwingi Sana... Anakera Sana yani... Na ana uarusha kupitiliza ... Akihoji watu wa Kanda zingine iwe nyanda za juu kusini Mabovu mwenyewe alipenda kuita Dirty South... Ana Kanda ya Ziwa ni hawezi kukuuliza kuhusu huko unapotoka yeye atabaki tu kulinganisha Kaskazini na huko... Ama anaweza kabisa kuwa amekuita wewe studio lakini mahojiano yote yakatawaliwa na maswali yasiyo kuhusu wewe ni mmakunduchi Sana huyo bowyer
Kuna vitu ningependa kuvijua kutoka kwenye comment yako Ila ulivyoandika sijakuelewa.
 
Kuna vitu ningependa kuvijua kutoka kwenye comment yako Ila ulivyoandika sijakuelewa.
Soma kwa kutulia bila kuwa biased.... Na Kama unasikilizaga hicho kipindi utamjua vizuri Mchomvu niliacha kusikiliza muda kidogo... Ana Uarusha mwingi Sana ambacho sio kitu kizuri kila msanii akija hapo atatafutiwa tu mtu wa kulinganisha nae kutoka huko maarusha sijui Kaskazini.... Hasa Hawa wa sijui hiphop sijui Tramp ...
 
Japo Huddah Monroe na Nai Music wanafanana kinyama,,Nampenda sana Nai music hakyanani,Yna2 kama una Contacts za Ting'ling'li zake nisololeshee asee!!
Sina contact zake mie
 
Huyu zone sijui ni mwanaume au mwanamke? Kama mwanaume utamliliaje mwanaume mwenzako ki boya boya
 
Check
 
Attachments

  • mon.png
    mon.png
    24.2 KB · Views: 19
Unatoa wapi nishati ya kusikiliza redio?
Mwenye akili timamu na kupenda kujua taarifa rasmi, za ukweli na za uhakika ataendelea kusikiliza radio stations, kuangalia Tv's na kuperuzi mtandaoni mambo ya maana yanayojiri kwenye jami yake husika. I think you're a millennial labda sio makosa yako!!
 
Jesus is millennial
 
Hawa wasanii wangejua thamani yao wasingenyanyasika na kulialia hivi.

Sasa mtu amekukosea halafu wewe ndio unalia tena kumuomba msamaha,tena huyo ni mtangazaji tu, sasa mmiliki wa hiyo radio si ndio anaweza kukupeleka kwake ukawe yaya?

Huwa namkubali sana Diamond kwasababu ametambua thamani yake mapema sana na 'anairingia' na hakuna media inaweza kumpelekesha.

Jua thamani yako,hata kama mtu amekubabe na akataka kuuchezea utu wako, chana mbeleko.
 
Back
Top Bottom