Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??
Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..
Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine
What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??