Bado ukweli wa kilichotokea utamwagwa tu siku moja... na nyie wote mnaosingizia viongozi wa nchi hii... eeeh mtajichukia.. haswa mtakapojua sababu haihusiani na serikali bali maisha aliyoishi mwenyewe Roma.. walikuwa wanne au watato na mtu anatumia tukio kujipatia pesa peke yake tofauti na alivyoonyesha kuwajali wenzake mwanzoni. Hata uko Zim labda hakwenda kabisa... na akatumia fursa kumuingiza mkewe amuongeleee.. hao wenzake mmoj atatoboa tu... eeeeh bora apewe ukweli... alipanga lililomtokea na ndio maana amewageuka wenzake??,