Msanii Moni kaponda ngoma ya Roma Mkatoliki ya Zimbabwe

Uyo Moni kama alishindwa kutoboa na kiki ya kutekwa basi asubiri STARTER ya lori tu hakuna namna.
 
Hivi cha ajabu alichokieleza ktk huo wimbo ni kipi? Mimi naona haja jilipua chochote. Bado kuna tatizo la kushindwa kusimamia unachokiamini.
 
Sio mbaya nilikuwa sijui kama kuna msanii anaitwa Monika sasa nimejua
 
Moni kwa hili anazingua, nae aje na story yake. Ila ngoma yao ya usimshahau mchizi iko poa sana. Big up sana Moni na Roma. Hip hop ya ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado ukweli wa kilichotokea utamwagwa tu siku moja... na nyie wote mnaosingizia viongozi wa nchi hii... eeeh mtajichukia.. haswa mtakapojua sababu haihusiani na serikali bali maisha aliyoishi mwenyewe Roma.. walikuwa wanne au watato na mtu anatumia tukio kujipatia pesa peke yake tofauti na alivyoonyesha kuwajali wenzake mwanzoni. Hata uko Zim labda hakwenda kabisa... na akatumia fursa kumuingiza mkewe amuongeleee.. hao wenzake mmoj atatoboa tu... eeeeh bora apewe ukweli... alipanga lililomtokea na ndio maana amewageuka wenzake??,
 
ukweli upi wakati kuna mtu alituhakikishia atawaachia kabla ya Jumapili na kweli akawaachia???
 
Back
Top Bottom