McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Uyo Moni kama alishindwa kutoboa na kiki ya kutekwa basi asubiri STARTER ya lori tu hakuna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli upi wakati kuna mtu alituhakikishia atawaachia kabla ya Jumapili na kweli akawaachia???Bado ukweli wa kilichotokea utamwagwa tu siku moja... na nyie wote mnaosingizia viongozi wa nchi hii... eeeh mtajichukia.. haswa mtakapojua sababu haihusiani na serikali bali maisha aliyoishi mwenyewe Roma.. walikuwa wanne au watato na mtu anatumia tukio kujipatia pesa peke yake tofauti na alivyoonyesha kuwajali wenzake mwanzoni. Hata uko Zim labda hakwenda kabisa... na akatumia fursa kumuingiza mkewe amuongeleee.. hao wenzake mmoj atatoboa tu... eeeeh bora apewe ukweli... alipanga lililomtokea na ndio maana amewageuka wenzake??,