Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga hawajambo?Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
mwamba alizingua kwenye bel air mpaka akachapiwa manzi(coco)Bel air [emoji28]
Ni sawa lakini kila artist aje na ubunifu wake sio wote waimbe taarabu tu kwani hakuna vipaji mtaani hadi usajili same type of artists?Kwani Zuchu alianzaje si mlisema ni mwiimba taarabu
Huyo dogo anaimba aina tofauti tofauti za nyimboNi sawa lakini kila artist aje na ubunifu wake sio wote waimbe taarabu tu kwani hakuna vipaji mtaani hadi usajili same type of artists?
Watanzania umaskini unawapa tabia za hovyo sana! Stress zinawazalishia chuki,wivu,husda,kijicho na uchawi.Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
Wewe wa kwako yupo wapi ?Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
AahaaaaaNi sawa na sajili waliyotapeliwa simba sc kwa ayubu 🤣
Keshapanda bei tayariHadi hivi tunavyozungumza gharama ya kupata show yake ni kubwa kuliko gharama ya Ibrah, Mac voice, Chino, TID, baba levo, Bill nas, Whozu, msanii wa nandi, Angela, chege, temba na wengine kibao
Kasainishwa miaka mingapi, labda tuanzie hapo kwanza ili baadae asijekutafuta huruma.Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
Huyo dogo anaimba aina tofauti tofauti za nyimbo
Na bongofleva mf bam bam ni bongoflevaHuyo anaimba singeli na taarabu
Kwenye ukweli lazima usemwe. Hapa wasafi walikurupuka. Walitakiwa walete artist ambaye yupo very competitive katika soko la music industry ili kuikeep label alive and working.Watanzania umaskini unawapa tabia za hovyo sana! Stress zinawazalishia chuki,wivu,husda,kijicho na uchawi.
Wewe unaweza nini katika haya maisha zaidi ya kujaza choo na kutia/kutiwa?