nyange__
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 225
- 688
Bel air [emoji28]Huyo mwamba kwenye profile yako namkubali kinomanoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bel air [emoji28]Huyo mwamba kwenye profile yako namkubali kinomanoma.
Atakuwa na phd in music management toka havardWasifu wako? Maana ku challenge mfanya biashara kama diamond kwenye tasnia iliyompa billions inaitaji uwe na cv ya kueleweka.
Atakuwa na phd in music management toka havard
Kwani Zuchu alianzaje si mlisema ni mwiimba taarabuYuo vizuri lakini style yake ya uimbaji na exposure hakuna kitu tunahitaji wasanii broadminded ili kucompete na soko la mziki wa sasa huyo hawezi kucompete na wapopo..huyo hana utofauti na wasanii wengine wa wcb wote waimba taarabu tu
🤣🤣🤣🤣🤣Wasifu wako? Maana ku challenge mfanya biashara kama diamond kwenye tasnia iliyompa billions inaitaji uwe na cv ya kueleweka.
Ila wadau mnamaneno 🤣Hajakuletea wewe amejiletea yeye kwa faida na hasara yake, wewe wasikilize wale wanaoimba usasa tu mkuu usiteseke dunia ni pana
Mpaka wewe Leo unasifia basi kweli dogo kakugusaKwangu naona tofauti, huyu yuko vizuri tena pale WCB atakua bora zaidi ya jana.
Wakati utasema.
Kwenye ukweli nasema, Dogo yuko vizuri.Mpaka wewe Leo unasifia basi kweli dogo kakugusa
Diamond anajua mziki kuliko ww ,huyu ni msanii wa sita kumtoa.Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
Pesa huwa inatengeneza kila kitu kasoro roho tuHajakuletea wewe amejiletea yeye kwa faida na hasara yake, wewe wasikilize wale wanaoimba usasa tu mkuu usiteseke dunia ni pana
Aisee huyo dogo ni wa hovyo kabisa kabisa , Moja ya usajili wa hovyo sans Diamond kafanya , ilitakiwa dogo awe international na sio upumbavu wa singeli , Bora asajili backups faster kabla dogo hajatia hasaraHana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.
Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.
Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.
Nope hapa mmebugi wazee
Fresh hofu ilikuwa kwako tuNiko poa mkuu,VP waendeleaje?
😂😂😂😂Mwamba mwenye dem mnazi ila ana swag nzuri sanaa.Bel air [emoji28]
Niko poa Plan
nitakuja kukutembelea Mungu akipendaNiko poa Plan
Karibu sana mkuu