Msanii mpya wa wasafi, Diamond alikurupuka!

Msanii mpya wa wasafi, Diamond alikurupuka!

Yuo vizuri lakini style yake ya uimbaji na exposure hakuna kitu tunahitaji wasanii broadminded ili kucompete na soko la mziki wa sasa huyo hawezi kucompete na wapopo..huyo hana utofauti na wasanii wengine wa wcb wote waimba taarabu tu
Kwani Zuchu alianzaje si mlisema ni mwiimba taarabu
 
Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.

Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.

Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.

Nope hapa mmebugi wazee
Diamond anajua mziki kuliko ww ,huyu ni msanii wa sita kumtoa.

Alimtoa Harmonize miaka miwili watu wanampigia kelele,kwamba dogo hatofika mbali sababu sauti yake na Mondi zina fanana, Mondi kakomaa leo Harmo yule pale.

Mondi anajua kuliko ww.
 
Hana vigezo vya kumfanya aonekane wa tofauti na wenzie. Anaimba kawaida Tena bora hata ya lavalava.

Tulitegemea tutaletewa msanii anayeimba kileoleo style za kina Rema, Ruger etc.

Mnatuletea msanii anaimba kama mzee yusuf ama mwandei.

Nope hapa mmebugi wazee
Aisee huyo dogo ni wa hovyo kabisa kabisa , Moja ya usajili wa hovyo sans Diamond kafanya , ilitakiwa dogo awe international na sio upumbavu wa singeli , Bora asajili backups faster kabla dogo hajatia hasara
 
Back
Top Bottom